Smarter JF-Expert Member Joined Nov 10, 2008 Posts 528 Reaction score 114 Dec 1, 2021 #1 Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje? Poa. Fresh Basi.
Ndio hivyo tena, December imeshaingia. Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu. Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki. Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje? Poa. Fresh Basi.