UNA MRADI UNAHITAJI MONITORING AND EVALUATION?

UNA MRADI UNAHITAJI MONITORING AND EVALUATION?

The BornAgain

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
428
Reaction score
582
Ndugu mdau, au kama una mfahamu mdau ana mradi alioanzisha na umeshika kasi..hata kama kuna management ya mradi husika iwe ujenzi fulani, utoaji huduma au uzalishaji wowote....Nakuletea huduma yangu ya MONITORING and EVALUATION (M&E) ambayo ndani ya miezi miwili mpaka mitatu nitakutengenezea REPORT nzuri utayoitumia kufanya MAAMUZI SAHIHI na Pia KUFAHAMU HALI HALISI YA MAENDELEO YA MRADI hata kama unaona kwa macho unaendelea,: maana zipo ASPECTS nyingi na sio lazima za kidarasani ila nitazichukulia very potential kwa ajili yako/yao waliowekeza pesa zao. Some of the aspects zitakuwa:
i) Matumizi sahihi ya rasimali za mradi
ii) Hali halisi ya mahitaji yajayo
iii) Hali ya kifedha kuelekea hatua zifuatazo za mradi
iv) Mda sahihi wa hatua za mradi
v) Changamoto ktk maeneo yote ya utekelezaji mradi
vi) Viashiria chanya na hasi vinavyoathiri au vitavyoweza athiri mradi wako
vii) Hali halisi ya ubora wa huduma au bidhaa
vii) Mda tegemewa kumaliza kutegemea mpango kazi uliopo au mpango mkakati uliowekwa au mpango wa biashara uliowekwa awali
viii) Ushauri mahususi kuelekea kufanikisha mradi kufikia malengo

Kazi hii naweza fanya mwenyewe popote mradi ulipo Tz hii, uwe mradi wa mda mfupi au mrefu na endelevu. Kazi hii unaweza nipatia kulingana na hatua ambayo mradi umefikia labda robo au nusu au robo tatu au mwaka nk.
Kumbuka lengo ujue kama malengo yako na ya mradi yatafikiwa kama ulivyopanga awali au kuna kujiongeza au kuna kupunguza chochote.

Ushauri tu..karibu
 
Back
Top Bottom