Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Mkuu jiongezee maarifa, UTT ni asilimia 12+ kwenye liquid fund. Bank wanaokupa mpaka asilimia 11 ni wale ambao usipokaa vizuri wanaweza kufa muda wowote.Hoja yako ni kukopa ama UTT?
UTT umeijua leo ama?
Ni mtu asieelewa vyanzo vya uwezkezaji tu anaeweza kupeleka hela zake UTT.
UTT return yake haizidi 5% kwa mwaka sasa hiyo laki 3 na upate 3.6 kwa ambazo jumla na return haitazidi 3.8, hii sio akili.
Weka fixed deposit ya bank ambayo wanatoa kuanzia 9% to 11% ambazo ndio bank nyingi wanatoa sasa.
Watu wachache sana walioajiriwa wakikopa wanafanya kitu cha maana.Tukirudi kwenye kukopa, kuna kitu kinaitwa opportunity cost, uangalie, uchukue leo mkopo ufanyie jambo lako ama usubiri ukusanye kidogo kidogo kwa miaka 3 ama 5 ndio ufanye hilo jambo.
Mwisho inabaki kwenye maamuzi ya mtu kutokana na kipaumbele chake.
Umenikumbusha macho ya economics,, opportunity cost,Hoja yako ni kukopa ama UTT?
UTT umeijua leo ama?
Ni mtu asieelewa vyanzo vya uwezkezaji tu anaeweza kupeleka hela zake UTT.
UTT return yake haizidi 5% kwa mwaka sasa hiyo laki 3 na upate 3.6 kwa ambazo jumla na return haitazidi 3.8, hii sio akili.
Weka fixed deposit ya bank ambayo wanatoa kuanzia 9% to 11% ambazo ndio bank nyingi wanatoa sasa.
Tukirudi kwenye kukopa, kuna kitu kinaitwa opportunity cost, uangalie, uchukue leo mkopo ufanyie jambo lako ama usubiri ukusanye kidogo kidogo kwa miaka 3 ama 5 ndio ufanye hilo jambo.
Mwisho inabaki kwenye maamuzi ya mtu kutokana na kipaumbele chake.
Sio kweli, bank nyingi stable kubwa Tanzania wanatoa deposit rate kuanzia 10%+.Mkuu jiongezee maarifa, UTT ni asilimia 12+ kwenye liquid fund. Bank wanaokupa mpaka asilimia 11 ni wale ambao usipokaa vizuri wanaweza kufa muda wowote.
Watu wachache sana walioajiriwa wakikopa wanafanya kitu cha maana.
Boss utt inafika 10%+ kwa mwakaHoja yako ni kukopa ama UTT?
UTT umeijua leo ama?
Ni mtu asieelewa vyanzo vya uwezkezaji tu anaeweza kupeleka hela zake UTT.
UTT return yake haizidi 5% kwa mwaka sasa hiyo laki 3 na upate 3.6 kwa ambazo jumla na return haitazidi 3.8, hii sio akili.
Weka fixed deposit ya bank ambayo wanatoa kuanzia 9% to 11% ambazo ndio bank nyingi wanatoa sasa.
Tukirudi kwenye kukopa, kuna kitu kinaitwa opportunity cost, uangalie, uchukue leo mkopo ufanyie jambo lako ama usubiri ukusanye kidogo kidogo kwa miaka 3 ama 5 ndio ufanye hilo jambo.
Mwisho inabaki kwenye maamuzi ya mtu kutokana na kipaumbele chake.
Hakuna kitu kama hicho, nimefanya sana consultancies kwenye mabenki.Sio kweli, bank nyingi stable kubwa Tanzania wanatoa deposit rate kuanzia 10%+.
Hivi unafahamu UTT ni kitu gani? Unajua kwamba ipo chini ya wizara ya fedha?Pili why upelele pesa zako UTT wakati unaweza kununua hati Fungani za serikalini ambazo sasa zinatoa riba nzuri tu.
Kupeleka pesa zako UTT ni kama unakua unacheza kamari, una bet wakati kuna vyanzo vingine vya kuwekeza vya uhakika ambavyo unaweka pesa zako ukaa kunywa juice na kuku kwa mrija mpunga unaingia bila jasho.
Waajiriwa wengi hawana financial literary. Wanaishia kupoteza hizo pesa.Kuhusu waajiriwa, watu hawatoki kwenye same background, mtu mwingine ndio kichwa cha familia, wanategemewa kubadilisha hali za nyumbani kwao sasa aache kukopa kisa ni maamuzi ya hivyo sio kweli.
Acha watu wakope watatue matatizo yao, ya huko mbele hayajulikani.
Ebwna eeh yaani laki tatu klawezi napata million 3.6 baada ya miezi 12? Ebu nipe maujanja niwe naweka million kila mwezi sii nitakuwa na million 10Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.
Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini.
Unachangia mabenki asilimia 16 kwa mwaka ambayo ni asilimia 80 ya pesa yako unayoipata kwa shida katika miaka mitano. Benki zinanufaika kwa ujinga wa watu wengi.
Kwanini wewe usihifadhi hata UTT shilingi laki 3 kwa mwezi? Kwa mwaka utakuwa na 3.6m na miaka mitano itakuwa 18m, tena hapo bila kuweka faida yake.
Mkuu umenichekeshaEbwna eeh yaani laki tatu klawezi napata million 3.6 baada ya miezi 12? Ebu nipe maujanja niwe naweka million kila mwezi sii nitakuwa na million 10
Inategemea na biashara au uwekezaji unaoenda kuufanya ila kama unaenda kununua gari au nyumba hapo ndio umeyumbaMtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.