The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Majibu.1. Hakuna kitu kama hicho, nimefanya sana consultancies kwenye mabenki.
2. Hivi unafahamu UTT ni kitu gani? Unajua kwamba ipo chini ya wizara ya fedha?
3. Waajiriwa wengi hawana financial literary. Wanaishia kupoteza hizo pesa.
1. Wewe umefanya consultancy, hujui chochote mkuu. Nachokisema hapa nina uhakika nayo 100%.
2. UTT naijua kuliko unavyoijua wewe, ndio maana mara ya kwanza nikakuuliza ndio umeijua leo? Maana unachokiingea kuhusu UTT ni kama vile umebadilishwa na mtu ama umeona mjadala mahala.
3. Unashindwa kutofautisha financial literacy na powerty. Ukiwa na shida hakuna matumizi ya financial literacy, kwanz aupate pesa utatue matatizo yako kwanza.