Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 18, 2024 #1 Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. Vipi ukimpigia simu, atapokea?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 18, 2024 #2 Hapana.
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 1,770 Reaction score 3,552 Jan 19, 2024 #3 Mizengo pinda
Samily de cruze JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 230 Reaction score 682 Jan 19, 2024 #4 Mjanja M1 said: Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. View attachment 2875669 Vipi ukimpigia simu, atapokea? Click to expand... Wasira
Mjanja M1 said: Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. View attachment 2875669 Vipi ukimpigia simu, atapokea? Click to expand... Wasira
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Jan 19, 2024 #5 namba za watu maarufu zinapatikana mitandaoni kwahiyo siyo issues
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 893 Reaction score 1,739 Jan 21, 2024 #6 Wengi Sana, na zote nimezipata Mwaka 2023
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,446 Reaction score 10,976 Jan 21, 2024 #7 Kuwa nazo hazisaidii kama huna issue nao kama kazi au biashara....
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Jan 21, 2024 #8 Nilikuwaga nayo ya Sir100 ila kabla hajawa simple. Ya sabufa aliyepita nadhani ninayo mpaka sasa.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 22, 2024 #9 Wengi tu Kasoro wasanii tu Ova
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jan 22, 2024 #10 Mello Na wengineo, kwenye siasa na burudani.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Jan 22, 2024 #11 Tresor Mabi Mputu Joseph kabila Robert kidiaba
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 5,715 Reaction score 13,739 Jan 22, 2024 #12 ninazo nyingi sana