Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu habari,
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, huwa najitathmini vitu mbalimbali kimoja wapo ni marafiki/ndugu niliokuwa nao karibu mwaka uliopita na ambao tumetupana mwaka mzima.
Sasa leo nilikuwa nafutafuta baadhi ya namba za simu ambazo hatujawasiliana miaka nenda rudi, zipo tu kwenye simu kiushahidi. Nina namba za simu 365 hadi sasa (kabla sijaanza kufuta).
Wengi ni wafanyakazi wenzangu, classmates wa vyuo, sekondari na wengine mtaani nilipokulia.
Nyie wenzangu muna namba approximately ngapi?
Lengo nibakiwe na chini ya 100 tu ambao nakuwa nao karibu tunawasiliana, siyo hawa wengine kazi ku-view status zao tu.