Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

Nina contacts 355 hapo kuna wenye namba 3 kuna wenye namba 2... jumla nina idadi ya watu kama 150...
Kati ya hao ninawasiliana na watu kama 20 tu.. hawa wengine sina mpango wa kufuta namba ya mtu maana kuwa nayo hainipunguzii kitu..
Sana inaniongezea vitu sana..
Kuna class mate wa olevel nilikua sijawasiliana nae tangu 2011 alikua anajua sina namba yake sasa jamaa alinitafuta alikua na shida..
Ile kupokea nikataja jina lake.. jamaa alishangaa sana inakuwaje nina namba yake.. hadi jamaa akanipa deal..
Sometimes nakuwa na shida na namba flani lakini mambo yanakuwa easy sababu huwa sifuti namba hata kama naona kwa sasa hainisaidii( labda za madem wenye dharau na ma-X ili ni moveon vizuri)..

Na sijawahi kubadiri namba ya simu tangu nianze kumiliki simu
 
dunia hii tofauti na baba yako au mama yako kaa ukijua hakuna msaada mwingine, hao wa kuzaliwa tumbo moja sijui bamdogo ,shangazi, hao ni sehemu ya kusongesha jahazi lako lamaisha,kwamba ukiwa na wenzako useme baba mdogo yupo VODA na shangazi TRA

U CAME ALONE N U SHOULD LEAVE ALONE .....

Watu wataona unaongea utumbo ila ndio tulipofikia kwa sasa, ndugu zako ni wale uliozaliwa nao tumbo moja full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dunia hii tofauti na baba yako au mama yako kaa ukijua hakuna msaada mwingine, hao wa kuzaliwa tumbo moja sijui bamdogo ,shangazi, hao ni sehemu ya kusongesha jahazi lako lamaisha,kwamba ukiwa na wenzako useme baba mdogo yupo VODA na shangazi TRA

U CAME ALONE N U SHOULD LEAVE ALONE .....
Niliposema ndugu wa tumbo moja nilimaanisha dada na kaka sio hao kenge strangers uliowataja, sijawahi kuwajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina namba kama 1000 hivi. Kikawaida huwa sifuti namba labda huyo mtu nione ananikwamisha au ni distraction kwenye malengo yangu. Na nilianza kusave contacts kwenye email toka 2012.

Sifuti kwa sababu huwezi jua atakayekusaidia kesho ni nani. Huyu unayemuona hana msaada leo, kesho anaweza kuwa kwenye position ya kukusaidia.

Na dunia inakoelekea hadi contacts za social media zitakuwa ni muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu ya watu humu yanaonesha tuna jamii ya namna gani.
Hili swala ni purely your personal choice yako!

Wewe kufuta halihusu wengine

Futa,wala hakuna wa kukuuliza chochote

People think namba mlizonazo kwenye simu zenu ni favor mnawapa hao watu,

Yall are naive sons of the bitches!

Keep or delete em nobody cares about you whatsoever!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom