Una namba za simu (contacts) ngapi kwenye Simu yako?

Mtu ana namba za simu 10 sijui 30 halafu anasema wengine hatuna connection. Connection utapata wapi? Una namba ya baba yako sasa muombe clip tunazipata za hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninazo kama 400 ninaowasiliana nao mara kwa mara hawazidi 30 kwa kuwa namba siyo mzigo mzito sifuti hata moja zitakuja kunisaidia mbeleni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
The fear of "nobody knows tomorrow" is the reason why you still have some people's numbers

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...na hiyo ndiyo akili...huwezi kuwa eti na namba 20...labda uwe unatembea na rundo la business cards...au uwe dereva wa guta....[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mimi zilikuwa kama 150 hivi nikafyeka awamu ya kwanza wakabaki 90 ,sasa nataka nipitishe panga awamu ya pili kwa wale ambao wapo kimya kwa muda mrefu maana niliwapa miezi miwili sasa imeshakwisha nataka wabaki 30 muhimu tu .
 
Zilikua 300 ila nimepunguza ambao naona hata mwaka unaisha sipati sms wala hatuna mawasiliano sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…