Una ndoto gani unayotamani kuitimiza mwaka 2023?

Basi wewe ndio sababu
Nimekuuliza kwa wema tuu mkuu sio kwa attitude kama jibu lako. Sababu mimi ninachoamini baraka zetu zipo kwa mama zetu. Na pia kila kitu kina muda wake ambao Mungu amepanga kukupa.

Kwahiyo kuwahi au kuchelewa, kufeli au kufaulu kwa jambo ni mipango ya Mungu cha msingi ni kukazana kuomba na bidii tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kasome nilichoandika
 
tarehe 5 january ndo nmetoka bandarini kuchukua ile Toyota LC 300 yenye 0 km nloagiza mwishon mwa mwaka jana.

Lengo langu mwaka huu ni kupumzika mpaka mwez wa 11.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…