uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Sio mzazi mwenzio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wewe ndio sababuMkuu ni kweli unaamini hiyo story kwamba mama ndio alikuwa sababu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe mkuu ulimuamini chizi yule kwamba ni mzazi mwenzangu?? Sio yeye mkuu wala hata simjui.Sio mzazi mwenzio?
Nimekuuliza kwa wema tuu mkuu sio kwa attitude kama jibu lako. Sababu mimi ninachoamini baraka zetu zipo kwa mama zetu. Na pia kila kitu kina muda wake ambao Mungu amepanga kukupa.Basi wewe ndio sababu
Rudi kasome nilichoandikaNimekuuliza kwa wema tuu mkuu sio kwa attitude kama jibu lako. Sababu mimi ninachoamini baraka zetu zipo kwa mama zetu. Na pia kila kitu kina muda wake ambao Mungu amepanga kukupa.
Kwahiyo kuwahi au kuchelewa, kufeli au kufaulu kwa jambo ni mipango ya Mungu cha msingi ni kukazana kuomba na bidii tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu kwa hilo. Pia upate mapumziko mematarehe 5 january ndo nmetoka bandarini kuchukua ile Toyota LC 300 yenye 0 km nloagiza mwishon mwa mwaka jana.
Lengo langu mwaka huu ni kupumzika mpaka mwez wa 11.
Heri ya mwaka mpya wana JF wote. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuuanza mwaka mpya 2023 sifa na utukufu tunamrudishia yeye.
Tukiwa tumeanza siku mpya ya mwaka siku ya kwanza, ni siku ya kupanga malengo yako na ndoto unazotamani au unazotarajia kuzifikia na kukamilisha kwa mwaka mzima. Pia ni siku ya kuangalia ambayo hukukamilisha kwa mwaka uliopita na kuyapa kipaumbele mwaka huu.
Ni siku ya kuevaluate wapi ulikosea na wapi ulianguka kwa mwaka 2022 ili uyasahihishe na kuepuka kurudia mwaka mpya yasizibe malengo yako.
~ Je, umeshaandika malengo yako ya kuyafikia mwaka huu kwa miezi 6 na 12 ijayo?
~ Je, ni ndoto gani unatamani itimie kwa mwaka huu? Unatamani ufikie malengo yapi kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu?
Mimi binafsi namuomba sana mwenyezi Mungu mwaka huu;
1. Nipate kazi nzuri itakayomudu maisha yangu. Nipate pia connection za kutosha.
2. Nitengeneze cycle mpya ya marafiki ambao tutasaidiana kimawazo na kimaisha katika shida na raha na mengine mengi sana ambayo nimetulia nayaandika katika diary hapa.
Wewe je unatamani Mungu akutimizie nini kwa mwaka huu 2023? Mungu wetu siyo kiziwi wala kipofu, anasikia na kuona.
Heri ya mwaka mpya ukawe mwaka wa furaha, amani na mafanikio tele.
View attachment 2465381
Sent using Jamii Forums mobile app