trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
- Thread starter
- #41
Na Mungu akutembelee mwaka huu tumbo lako lipate baraka upakate mwanao...InshallahMtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mungu akutembelee mwaka huu tumbo lako lipate baraka upakate mwanao...InshallahMtoto.
Na iwe hivyo mkuuA/c yangu ijae billion 100 ili mwisho wa mwaka na mimi nipigwe komeo na TRA Tanzania km wanavyopigwa komeo hao wakina fulani
Ameeena
Haina shida, duniani tunafananaSorry itakuwa nimekufananisha [emoji120]
Mungu akutimizie malengo yako mwaka huu kwa uwezo wake..Nisome vitabu visivyo pungua 50
Nifungue ofisi yangu
Nifanye biashara
Nimalize course yangu ya CFFPC maana nilifeli masomo mawili
Na ndoto yako ikamilike mwaka huu mkuu.Nijiichange nianze construction
Ukishawambia watu, watakukatisha tamaa na wengine watakuchawia.Mwaka wa kumkimbiza mwizi kimya kimya
Amen na itimieDoing what i love, hicho tu kwanza najua ndio kitazalisha kila kitu nachotaka
Maombi yetu kwako mkuu, utaacha pombe na mengi yatakunyookea njiaNiache pombe tu baasi. Mwanamke na pombe mengi yananiendea sivyo niombeeni
Na itimie kwa uwezo wake Mungu.Ndoto yangu ni kufungua kiwanda kidogo cha sabuni kabla ya mwwzi wa 3 kiwe kimeanza production
Jiandae na futa...........utalala mpaka kiama Kiki kuteMimi ni mvivu, nataka nipate njia ya kupata pesa bila kufanya kazi wala kutembea.
Yani nilale pesa iingie, maisha yenyewe mafupi.
Ukipata hiyo njia niambie na mimiMimi ni mvivu, nataka nipate njia ya kupata pesa bila kufanya kazi wala kutembea.
Yani nilale pesa iingie, maisha yenyewe mafupi.