Una ndoto gani unayotamani kuitimiza mwaka 2023?

Una ndoto gani unayotamani kuitimiza mwaka 2023?

Mkuu hicho kidole jichomeke mwenyewe mpenda michezo michafu mimi sitaki hio michezo usiniambukize,
Nitakuchomeka utake usitake choko kama Wewe toka lini hupendi michezo michafu hapo ulipo unanuka mavi kwa kufir...wa
 
Nitakuchomeka utake usitake choko kama Wewe toka lini hupendi michezo michafu hapo ulipo unanuka mavi kwa kufir...wa
Mkuu umeulizwa 2023 una ndoto gani au una ndoto ya kuliwa ndogo?
 
Heri ya mwaka mpya wana JF wote. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuuanza mwaka mpya 2023 sifa na utukufu tunamrudishia yeye.

Tukiwa tumeanza siku mpya ya mwaka siku ya kwanza, ni siku ya kupanga malengo yako na ndoto unazotamani au unazotarajia kuzifikia na kukamilisha kwa mwaka mzima. Pia ni siku ya kuangalia ambayo hukukamilisha kwa mwaka uliopita na kuyapa kipaumbele mwaka huu.
Ni siku ya kuevaluate wapi ulikosea na wapi ulianguka kwa mwaka 2022 ili uyasahihishe na kuepuka kurudia mwaka mpya yasizibe malengo yako.
Je umeshaandika malengo yako ya kuyafikia mwaka huu kwa miezi 6 na 12 ijayo??

Je ni ndoto gani unatamani itimie kwa mwaka huu?? Unatamani ufikie malengo yapi kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu??
Mimi binafsi namuomba sana mwenyezi Mungu mwaka huu

1. Nipate kazi nzuri itakayomudu maisha yangu. Nipate pia connection za kutosha.
2. Nitengeneze cycle mpya ya marafiki ambao tutasaidiana kimawazo na kimaisha katika shida na raha.
Na mengine mengi sana ambayo nimetulia nayaandika katika diary hapa.

Wewe je unatamani Mungu akutimizie nini kwa mwaka huu 2023?? Mungu wetu sio kiziwi wala kipofu anasikia na kuona.

Heri ya mwaka mpya ukawe mwaka wa furaha, amani na mafanikio tele.


View attachment 2465381

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupanua zaidi mradi wangu wa majeneza angalau niwe na branches mikoa kadhaa
 
Back
Top Bottom