Una ndoto gani unayotamani kuitimiza mwaka 2023?

Una ndoto gani unayotamani kuitimiza mwaka 2023?

Kupanua zaidi mradi wangu wa majeneza angalau niwe na branches mikoa kadhaa
Duh mkuu naogopa hata kutype Mungu kautimizie maana ukipanua mradi ukafika mkoa wangu nimekwisha pia. Ila ndoto zako zitimizwe kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mkuu naogopa hata kutype Mungu kautimizie maana ukipanua mradi ukafika mkoa wangu nimekwisha pia. Ila ndoto zako zitimizwe kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko mkoa gani mkuu?
Naweza pia kuja kuwekeza huko kama mazingira ya biashara yangu ni rafiki na mzunguko wa hela upo.
 
Haitakiwi mtu yoyote kujua mipango yangu hata mke wangu. Siri sirini
Kuna watu wana midomo mibaya sana. Ukisema jambo halitimii.
Kimya kimya sasa hivi hakuna kutoa code kwa watu.

kwamba unamaanisha Mungu akupangie kununua Kiwanja halafu mtu amzuie Mungu kwa maneno yake??

Si ndio unacho maanisha??

Kama ni hivyo Acha imani potofu.

Ishi na msemo wa mtaani "kama ipo, ipo tuu"
 
kwamba unamaanisha Mungu akupangie kununua Kiwanja halafu mtu amzuie Mungu kwa maneno yake??

Si ndio unacho maanisha??

Kama ni hivyo Acha imani potofu.

Ishi na msemo wa mtaani "kama ipo, ipo tuu"
Ni kumuomba Mungu akupe watu sahihi katika maisha yako, watu waovu hawakosekani ila pia katika ngazi ya mafanikio huwezi kila siku ukapanda peke yako bila msaada wa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuomba MUNGU anijalie siha njema na uhai pia ajira maana hali sio hali, nami mwaka huu niweze kutoka hapa nyumbani!
Amen Mungu anasikia maombi yetu, ninaamini tutapata conmections za ajira na mwaka huu tutafanikiwa. Iwe ni kutoka nyumbani au kujiendeleza gheto.

Huwezi jua labda kupitia JF unaweza pata connection ya ajira, Mungu awe pamoja nawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba unamaanisha Mungu akupangie kununua Kiwanja halafu mtu amzuie Mungu kwa maneno yake??

Si ndio unacho maanisha??

Kama ni hivyo Acha imani potofu.

Ishi na msemo wa mtaani "kama ipo, ipo tuu"
Mungu wala shetani haji mubashara bali hupitia watu.
Unapoibiwa vitu au kupata kazi hupitia kwa nani?
Ukipata kiwanja kabla ya kutoa hela watangazie watu umepata kiwanja sehemu fulani uone kama utakinunua.
Mambo yangu yatabaki kuwa siri.
 
Back
Top Bottom