Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
1. Mungu anapangaNi kumuomba Mungu akupe watu sahihi katika maisha yako, watu waovu hawakosekani ila pia katika ngazi ya mafanikio huwezi kila siku ukapanda peke yako bila msaada wa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
2. Shetani anapanga
3. Binadamu anapanga
Utakuwa una jambo zuri lkn ukishawambia watu wanakukatisha tamaa, shetani anaingilia hapo. Kitu usichokijua binadamu tunatenda dhambi Mungu na dhambi ni kama mafuta na maji.
Ni ulimbukeni sana kila mipango unawaambia watu. Unataka kununua kiwanja unawaambia watu, unataka kufanya hiki unawambia watu, mipango yako yote unawambia watu. Utakwama. Mungu au shetani hupitia kwa watu.
Unataka kununua kiwanja waambie watu kuna ndugu yako au rafiki anahitaji kiwanja chenye sifa hii.
Unabiashara yako, anakuja mtu anakuuliza unafanyaje biashara mpk kupata wateja basi unamueleza yote, utakuja shangaa huyo huyo uliyemwambia kafungua hapo hapo karibu yako na anauza bidhaa hiyo hiyo tena bei ya chini kuliko yako.