Kivulini Rehabilitation & Sober House ni taasisi iliyosajiliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi. Tumekuwa tukiwasaidia waraibu wa pombe, bangi na madawa mengine ya kulevya kuondokana na uraibu unaowasumbua ikiwemo pia hivi karibuni tuna program maalum ya waraibu wa kamari.
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia ;
0787 480 606