Una nyoa baada ya muda gani?

Una nyoa baada ya muda gani?

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa.

Huwa una shave shamba la kufugia nywele/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani?

Ni wiki, wiki 2, mwezi au mwaka?

Binafs kwangu kunyoa naonaga karaha sana.

Ukiona nimeenda saluni ujue masikio tayar yashafunikwa na nywele hayaonekani.

NaweA kuvuta hata 2 months.

Tuambie wewe unazifugaga mda gani

Ramadhan Kareem

Uzi tayar
 
Kila baada ya wiki mbili naenda zangu kunyoa staki kero
 
Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa....

Huwa una shave shamba la kufugia nywelw/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani?

Ni wiki, wiki 2 ,mwezi au mwaka?

Binafs kwangu kunyoa naonaga karaha sana.......
Ukiona nimeenda saluni ujue masikio tayar yashafunikwa na nywele hayaonekani......
NaweA kuvuta hata 2 months....

Tuambie wewe unazifugaga mda gani

Ramadhan Kareem
Uzi tayar
After 2weeks
 
Sijaelewa shamba la kufugia nywele ni sehemu gani ya mwili?
Ulipoandika unaenda salon kama masikio yamefunikwa na nywele hapo nimeelewa ni ndevu
Hapo kubebea meno nimeelewa ni ndevu pia
 
Sijaelewa shamba la kufugia nywele ni sehemu gani ya mwili?
Ulipoandika unaenda salon kama masikio yamefunikwa na nywele hapo nimeelewa ni ndevu
Hapo kubebea meno nimeelewa ni ndevu pia
Mkuu...nywele za kichwani haziwez kufunika masikio zikiwa nying?
 
Nanyoa kila zikianza kuwasha..mara nyingi baada ya wiki mbili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi ni Rastafarian so nyie msiopenda nywele sababu kubwa ni ipi??
 
Sijawahi kunyoa sehemu yoyote kulikoota , binti yangu ana mtoto wa mwaka sasa
 
Back
Top Bottom