Una picha gani katika simu yako ambayo inafikirisha

Una picha gani katika simu yako ambayo inafikirisha

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Mimi nina hiišŸ‘‡

sio kwamba huyu mama ni mjinga zaidi yako, sio kwamba ni mdhaifu zaidi yako, sio kwamba hana juhudi kama wewe ni basi tu hajabahatika kama wewe.

Shukuru kwa kila jambo.
90f06c80eb006d481e93c246a516086d.jpg
 
Somewhere kuna kijana mdogo zaidi yangu, ana akili zaidi yangu, ana potential kunizidi, career yake ingekua mara milioni zaidi yangu lakini kilichomzuia kufikia robo ya nilipo ni mabomu ya Netanyahu na Trump, vita za miaka na miaka Congo, unafiki wa Marekani kwa nchi zao.

Am gonna fuckin live and hustle. Y'all say what you want, tukiogopa leo tutapata pesa kesho kweli?
 
Back
Top Bottom