Mno kakaHakika ndicho kinachoeendelea katika hili taifa kwa sasa.
Its sad
Vodacom inakutakia wewe na familia yako Heri ya SIKUKUU YA MUUNGANO!
Hao jamaa ni bahili Mpare anasubiri😂Mkuu voda itabidi wakulipe, sio kwa promo hii...
Hao jamaa ni bahili Mpare anasubiri😂
Sasa hizo kwangu si sekunde tuu😀 Ila kuna mwaka sitausahau sijui kama mitambo yao ilijam au niliwaroga (maana nilishawahi kujaribu😀) sikuweka bundle miezi 13 na nilikuwa hewani 24/7Ha ha ha, ukiacha tumia laini yao, ndio wanakupa ku sms na tu mb 50.
Hakuna mwenye boga linaning'inia kwa musuli.!