Una picha gani katika simu yako ambayo inafikirisha

Mimi nina hii👇

sio kwamba huyu mama ni mjinga zaidi yako, sio kwamba ni mdhaifu zaidi yako, sio kwamba hana juhudi kama wewe ni basi tu hajabahatika kama wewe.

Shukuru kwa kila jambo.
View attachment 3579402
Mungu mwenyezi amjaalie kila hatua aipigayo Mama huyu apate hitaji kwa kadiri yako Mungu. Inahuzunisha sana na hapo utakuta anasomesha na kodi ya Nyumba inamngoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…