Una save vipi pesa zako?

Una save vipi pesa zako?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Bonjour

Wakuu, embu tupeane ushahuri hapa Leo, jinsi unavyo weza ku save pesa hapa mjina daslam .. Aisee hiki ni kipengele sana kwangu, una save pesa, mara linakuja tatizo moja heavy, unajikutana hauna option nyingine, unatoa pesa yote una solve Hilo tatizo ambalo halikuwa kwenye malengo, unajikuta unaanza upya, kwahyo unakuta mchezo ndio unakuwa huo huo.. Mpaka unakuja kutimiza lengo too late , sometimes hata na madeni [emoji23]

Na Sasa tunao miliki vyombo vya moto, ndio balaaa, pesa haikai kabisa, inaishia kwenye service tu , *****

Embu tupeane ushahuri basi hapa, unatumia njia gani,
 
Ongeza kipato kwa kuzunguusha pesa mwisho wa siku zitajisave zenyewe ukiona unashindwa kuwa na hata buku pending ujue una hali mbaya kiuchumi
 
Sikia fanya hivi:-
-Tenga asilimia kadhaa za kipato chako kwaajili ya kusave tu let's say 40% kwahyo kama kipato chako kwa mwezi ni 1.5m(600k itaenda kwny savings).[emoji387]
-Sasa hapo najua utakua unasave kwa malengo tofautitofauti kwahyo utakua na mifuko kadhaa ya saving ambayo hyo 600k utaitawanya according to your priorities.[emoji389]
-Katika hyo mifuko yako ya kusave hakikisha ni lazima unakua na mfuko wa dharura na mfuko huu hela yake haipaswi kutoka kizembe,huu ndo mfuko utaokulisha kwa miezi kadhaa pale kipato chako kitakapokata ghafla(km kufukuzwa kazi au biashara kufilisika)[emoji383]
-Ili savings iwe rahisi inabdi uapply principle inayoitwa "Payyourself first" yaani kbla hujapeleka kipato chako kwny matumizi yyte unajilipa mwnyw kupitia savings zako lakn pia unaeza ukafanya savings Automatically yaani pesa inapoingia tu kwny acc yako inaenda Automatically kwny saving accs zako bila ww kuigusa au kuiona[emoji16]
-Tatizo kwny saving issues inakuaga ni moja binadamu wengi kipato kikiongezeka na matumizi yanaongezeka then saving inabaki palepale lakini pia wengi wetu tunaishi maisha ambyo hayaendani na kipato chetu ndo mana inakua ngumu kusave au tunasave kwa udogo sana[emoji17]
NB:-Siyo Kila Tajiri unayemuona alikua mchapakazi sana na siyo kila maskini alikua mvivu sana,, Saving and Investing zinatosha kabsa kutofautisha kati ya utajiri na umaskini..[emoji871]
 
Sikia fanya hivi:-
-Tenga asilimia kadhaa za kipato chako kwaajili ya kusave tu let's say 40% kwahyo kama kipato chako kwa mwezi ni 1.5m(600k itaenda kwny savings).[emoji387]
-Sasa hapo najua utakua unsave kwa malengo tofautitofauti kwahyo utakua ni mifuko kadhaa ya saving ambayo hyo 600k utaitawanya according to you priorities.[emoji389]

Nimekupata vizuri sana
 
Daah katika siku ambayo ubongo wangu umekula ni leo ndugu yangu..
 
Kipengele hicho, tunawasubiri wazee wa kumake waje.
 
Nasave kwenye VICOBA, huu ni mwaka wa 10 sasa, sijawah kujuta

nahakikisha kila mwisho wa mwez naweka 200000 hisa, 100000 mfuko wa jamii kweny kikoba

Nikipata dharura naenda kuchukua jamii chap na hamna longolongo...hii imenisaidia sana hata kupiga hatua ki maendeleo

Wale msiotak wanawake wenye vicoba mkafie mbele
 
Masuala ya kusave save, nimebaki nasave namba za simu tu.
Mie nikipata kibunda nakula maisha, naenjoy kadri niwezavyo maisha mafupi haya.
Hahaha, eti unasave no. za simu tu. Kusave kunategemeana na kipato chako pia.
 
Nasave kwenye VICOBA, huu ni mwaka wa 10 sasa, sijawah kujuta

nahakikisha kila mwisho wa mwez naweka 200000 hisa, 100000 mfuko wa jamii kweny kikoba

Nikipata dharura naenda kuchukua jamii chap na hamna longolongo...hii imenisaidia sana hata kupiga hatua ki maendeleo

Wale msiotak wanawake wenye vicoba mkafie mbele
Kwakweli, vinasaidia mi nadhani ni mwaka wa sita sasa nipo huko.
 
Back
Top Bottom