Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ili zoezi sio kinyume na sheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili zoezi sio kinyume na sheria?
Kijana hataki watu walipe madeni ya simu.
Acha kutafuta matatizo makubwa mkuu.
Weuwee nilikuwa nimalize kusoma comments nimuulize. Kwanini kwenye iPhone hawezi?Haha kwanini kasoro iphone?
😂😂😂😂 uliza kabla hawajafungua nyuzi za kuziponda aifoni .Weuwee nilikuwa nimalize kusoma comments nimuulize. Kwanini kwenye iPhone hawezi?
Iphone sio level za hayo ma androidWeuwee nilikuwa nimalize kusoma comments nimuulize. Kwanini kwenye iPhone hawezi?
Ndugu yetu inaonekana mgeni kwenye hizi kazi. Uzuri wale jamaa wanapenda kukukamata na ushahidi kabisa ili mahakamani msisumbuane. Watamtumia mtu tu, atakuja kama mteja, akishafanikiwa kuutoa mkopo wanakuja kumnyakua vizuri kabisa.Mkuu bolivia,
Wewe ni mpambanaji lakini hapa hukufikiri.
Mimi tu naomba nikushauri ondoa huu uzi sababu mpaka sasa kufikika kwako na kukamatwa ni jambo jepesi sana.
Watu wapo wanafanya biashara ila upo kwa ajili ya kupingana nao.
vijana wapo ila huwa wanafanya kimya, mkuu hili jambo ulifikiri kabla ya kuandika hapa?
Ni ushauri tu.
IPhone ndio simu,hizi nyingine ni mfano wa simu.Haha kwanini kasoro iphone?
HahaKwa vitisho hivi,hatarudi hapa tena
Kuna simu ndugu yangu kauziwa na mtu kumbe ni ya mkopo
mkuu mm nitakuja pmNilikuwa nasoma comments