Una tatizo la kuchelewa kuamka? Tumia njia hizi 10 kuwahi kuamka asubuhi

Una tatizo la kuchelewa kuamka? Tumia njia hizi 10 kuwahi kuamka asubuhi

Kulala saa mbili usiku Mkuu ni rahisi kusema lakini kutimiza kazi sana. Kuna entertainment za kumwaga ndani ya tube au uraiani. Hivyo kupanda kitandani saa mbili ni ngumu mno. Ahsante kwa uzi huu muhimu.
Ndio ndio lakini inategemea na vipaumbele vya mtu alivyojiwekea..ila kitaalamu kulala kwa saa 8 inashauriwa ni suala tu la kujicommit mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
SAA ya kiswahili mkuu usiniambie hukunielewa saa OK saa 8.00 mpaka7.30 ndo muda kama sina ubize
Mmh huwa unatumia muda gani kulala...yaaani kwa mfano..nikilala saa tatu kamili usiku nikiamka saa Moja asubuhi. nimetumia saa 10 kulala...wewe kwako ipoje kwa maana kama sijaelewa
 
Back
Top Bottom