Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #21
Ndio ndio lakini inategemea na vipaumbele vya mtu alivyojiwekea..ila kitaalamu kulala kwa saa 8 inashauriwa ni suala tu la kujicommit mkuuKulala saa mbili usiku Mkuu ni rahisi kusema lakini kutimiza kazi sana. Kuna entertainment za kumwaga ndani ya tube au uraiani. Hivyo kupanda kitandani saa mbili ni ngumu mno. Ahsante kwa uzi huu muhimu.
HahaHata ukiwa na mkopo bank ni lazima uwahi kuamka
Kopa bank kwa nidhamu ya kuamka mapema
Tuko pamoja mdauMm ninavyo juwa kwa kawaida mtu Ana takiwa kulala masaa nane kwa siku.
SAA ya kiswahili mkuu usiniambie hukunielewa saa OK saa 8.00 mpaka7.30 ndo muda kama sina ubizeYaani ulale kwa saa mbili tu au moja na nusu kati ya saa 24???
Mmh huwa unatumia muda gani kulala...yaaani kwa mfano..nikilala saa tatu kamili usiku nikiamka saa Moja asubuhi. nimetumia saa 10 kulala...wewe kwako ipoje kwa maana kama sijaelewaSAA ya kiswahili mkuu usiniambie hukunielewa saa OK saa 8.00 mpaka7.30 ndo muda kama sina ubize