Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
NdioYaani alitanua miguu akapiga picha bwawani?
Ni umri umeenda?Ndio
Alikuwa ana lingana na umri wa dada angu wa kwanzaNi umri umeenda?
Naona lengo alikutega umsugue
Watu wana mtazamo tofautiSimu yangu haiwezi nitia aibu nikiwa hai, na nikifa itanitiaje aibu wakati nimeshakufa tayari?
Kwahiyo naked kila mtu ana takiwa kuonaSasa suala la naked najishushiaje heshima mkuu?
Anyway ya kwangu hata ashike mtoto hakuna baya atakutana nalo kabisa.
Nimenyooka.
Asante sana kiongozi umetukumbusha jambo la maana kweli, mtu wa maana sana wew mweeeh, 😊Ikitokea imetokea umefuka au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile
Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa
Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika
Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Why visa vya wamama tu au ndo mishangaz yenuKuna mama ni katikista wa kanisa, simu yake ilikuwa inakwama kwama akaniomba nimuangalizia.
Niligundua memory iko full maana simu yenyewe ina uwezo mdogo. Katika kufuta futa files nilikutana na video za kusagana kibao.
Kwa vile zilikuwa kwenye folder ya video za whatsapp nilipatwa na shauku ya kujua zilipotokea. Ilibidi niingie whatsapp yake. Huko ndio sasa ndio nilikutana na mambo ambayo yalinifanya nisiweze kuwaangalia usoni baadhi ya kina mama na vibinti vya hapo kanisani mpaka leo.
Mkuu mbona sijaandika hivo!Kwahiyo naked kila mtu ana takiwa kuona
Mpwayungu village mada zako ni za ajabu.Ikitokea imetokea umefuka au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile
Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa
Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika
Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Yaani Mkuu Thread Zako Za Full PackagesNdio