Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Sio wote wana jua
Ndo maana watumiaji wengi wa simu,ni kuiga watumiaji wengine,mema na mabaya hawajui. Limtu linajihusisha na mambo ya ajabu,linatumia simu,eti linajua ni lijanja. Kesho keshokutwa linadakwa tu.

Kabla sijajua kwa kina mambo mengi, mtu aliwahi niita ofisini kwake,kimaongezi tu,kaniambia weka mkono wako mezani hapa. Nikaweka,kaleta unga wake,kafuta,vidole vyote hivyo hapo. Mpaka wa leo,ujinga wowote naojua unaweza niletea shida,sitaki kabisaaaa
 
😂😂😂 technology
 
Eti kamanda Poor Brain. Simu yangu hii iliyojaa Supa Dupa Yutongs (SDYs) siku moja itaweza kunitia aibu au kuniheshimisha? 😂😂😂

View attachment 3399715
Jamani mimi naomba nawaweke wazi humu jukwaani...

Sio kama sipendi kuacha kile chama pendwa cha CHAPUTA ila kuna watu ambao wamefanya haya yote na wamenifungia katika minyororo mikali sana ...

Just imagine jana juzi sijafanya kitu chochote ila naingia jf nakutana na rais kani tag alafu even enough kaweka na picha hapo chini....

Wanikate tuu mikono WAKUU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Shimba ya Buyenze uishi miaka buku mkuu

Nuliwahi kusema wewe siku watakudaka ukawa unajitetea et oooh shemeji anaelewa harakati zako ila kuna siku tuu utajichanganya wewe
 
Back
Top Bottom