Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #361
LioneeeHakuna kwakweliš
LioneeeHakuna kwakweliš
Na tuzo unayoWell said š
Ila na wewe kuangalia picha za mumama ni nini. Samsung kwamfano na nyingine zifananazo na hizo zina ile tricycle bin aise. Inaweza kuvunja ndoa yako hivihivi achilia mbali kuvunjiwa heshima utakapofukašLioneee
Zilikuja zenyewe siku zita futaIla na wewe kuangalia picha za mumama ni nini. Samsung kwamfano na nyingine zifananazo na hizo zina ile tricycle bin aise. Inaweza kuvunja ndoa yako hivihivi achilia mbali kuvunjiwa heshima utakapofukaš
Ni aibu na fedhehaZilikuja zenyewe siku zita futa
KabisaNi aibu na fedheha
Ukiwaonesha ile picha ya hogo langu nililokutumia watazarai maana watadhani labda Mimi mmiliki wa hogo namfaa tembo jike.Mimi watakutana na picha za MIHOGO YA JANG'OMBE. Mizigo imenona haswaa!
Wasipoloa chupi zao uniite komwe.
secretarybird Mbaga Jr
Duh, mkuu hiyo ilikuwa noma sana.Unakuta umejaza porn picture š¼ļø & videos
Nakumbukaa miaka ya 15 years back nikiwa kwenye daladala segerea - mwenge.
Mwamba mmoja video ikaji ā¶ļø play mzee sautii ya juuu za miguno na mahabaa
ndiii ndiii ndiii JAMAA ALI HAHAA 𤣠KUWEZA KUI MUTEE š video aisee daladala WOTEE kimyaa ilikua fedheha kubwaa Sanaa š ikabidii ashuke kituo kilicho fuataaa ššš
Ahahaha š šUsiombee ššš
ššššššš
Monetary doctor
secretarybird
MENEMENE TEKERI NA PERESI
min -me
Cc.
Baada ya hapo ikawa unamwangalia tu na usikute picha zake ulijirushia weweš¤Kabisa
Siwez fanya uho ujinga nilikuwa na mwangalia af nikaenda nikasahauBaada ya hapo ikawa unamwangalia tu na usikute picha zake ulijirushia weweš¤
Unahoja. Tujitahidi sana kuwa wema kwetu binafsi na wengine pia.Ikitokea imetokea umekufa au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile
Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa
Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika
Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Watu wanatokaga na mapovuu bafuniš„ŗ
Kuwai simuuu... Kuna jamaa humu aliwai kutoa testimony kua Kuna siku alikosea meseji ya mchepuko akatuma kwa WIFE wake.
Anasimulia alikua kurasini AKAOMBA dharura ofsini akaenda home kimara/ mbezii akiwa njiani alikua anaona garii haitembei kabisa akafika home akamkuta wife sebuleni moja kwa moja CHUMBANI akakuta wife hata hajafungua simu/ meseji jamaa akafuta meseji
Siku iyooooo akamtoa wife outing kabisa maana alichanganya madesa ilikua nomaa sanaa
Bila shaka yoyoteNa tuzo unayo
Sio wote wana juaLabda kwa washamba. Kama una hayo madudu,si zipo apps za kuyaficha au?
Kusafisha muhimuUnahoja. Tujitahidi sana kuwa wema kwetu binafsi na wengine pia.
Hahahaha hatari sana. Hii kitu huwa nikiwaza lazima niisafishe simu
Wengi hawana kifuasimu ni privacy ya mtu, hivyo utakavyokutana navyo ndo privacy yenyewe shida ipo hapo kwa mtoa msaada lwa kwenda kuyatangaza
IgweeeBila shaka yoyote