hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Hapo sawaIpo kwenye iphone setting
Hapo sawaIpo kwenye iphone setting
Yah mi huwa nasema tu google huko kwako,au natuma screenshot ajiongezeKote kote ana pita
Kwa hiyo na wewe ulivyo lishamba ukashindwa kujiongeza?Ikitokea imetokea umefuka au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile
Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa
Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika
Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Usiombee 🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
If I'm not mistaken hiyo ilishawahi kumkuta Raisi wa South Africa Jacob zouma akiwa ktk kikao Cha Un
Njoo kwenye iphoneHapo sawa
😂😂 utasikia sina bandoYah mi huwa nasema tu google huko kwako,au natuma screenshot ajiongeze
😂😂 yupo wapi?Mimi watakutana na picha za MIHOGO YA JANG'OMBE. Mizigo imenona haswaa!
Wasipoloa chupi zao uniite komwe.
secretarybird Mbaga Jr
Tuna linda brandKwa hiyo na wewe ulivyo lishamba ukashindwa kujiongeza?
Na mie bInaadamu jamani....na siri zangu 😛Mweh mchuchu una ficha nini, 😂 😂 😂
Labda alikuwa anamtumia bwana wake,mambo ya kunyegeshanaYaani alitanua miguu akapiga picha bwawani?
Kabisa bossLabda alikuwa anamtumia bwana wake,mambo ya kunyegeshana
Ova
Utaki mtu ajue kama una ji chetuagaNa mie bonaadamu jamani....na siri zangu 😛
Aseeh simu yangu ipo safi mara zote,
Haha siyo kweliNikishika tu dk5 naanza kuhema kwa kasi😅😅
Njoo chukuaNiachie leo
😆😆😆
Shida ya JF ni moja tu mtu akitoa testimony za Jambo Fulani watu wanakimbilia kusakama huyo mtuu 🙌🙌🙌Itakuwa ulikuwa ni wewe