hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
๐๐๐ Sikimya kimya kwani mkipeana mta watangazia watu !? Hakuna Msafi kamili Duniani, wee mle tuIla wee kichaa ๐๐๐ jau yaan mtu una nena kabisa af kesho una kutwa na skendooo
๐๐๐ Sikimya kimya kwani mkipeana mta watangazia watu !? Hakuna Msafi kamili Duniani, wee mle tuIla wee kichaa ๐๐๐ jau yaan mtu una nena kabisa af kesho una kutwa na skendooo
Eti ana miaka 44 ndio Kashindwa kumla Huyu Jamaa jau kinoma sheesshh!!!Ni aged sana au analika ? Unafeli aisee
Kwamba haya mbona madogo ๐๐Sijasema ujiachie watu wakujue free. Sitaki unafiki huku kwenye simu una mapilau, huku mzee wa kanisa.
Mimi sijawahi kusema mzee wa kanisa hivyo hata ukinikuta na mapilau nitakwambia hayo mbona madogo ngoja nikupeleke live ukaone mengine nilienda nude beach Uholanzi hayo utakimbia mwenyewe.
Yani sitaki ule unafiki wa mtu kujifanya mzee wa kanisa kumbe kila siku unakula chabo.
44 analika mkuu, ukute ni mtu ana visent bado anajipenda , anaishi mjin analika vzr sana !!!! Jamaa anakwama wapi huyuEti ana miaka 44 ndio Kashindwa kumla Huyu Jamaa jau kinoma sheesshh!!!
๐๐๐๐๐Unakuta umejaza porn picture ๐ผ๏ธ & videos
Nakumbukaa miaka ya 15 years back nikiwa kwenye daladala segerea - mwenge.
Mwamba mmoja video ikaji โถ๏ธ play mzee sautii ya juuu za miguno na mahabaa
ndiii ndiii ndiii JAMAA ALI HAHAA ๐คฃ KUWEZA KUI MUTEE ๐ video aisee daladala WOTEE kimyaa ilikua fedheha kubwaa Sanaa ๐ ikabidii ashuke kituo kilicho fuataaa ๐๐๐
Mweh mchuchu una ficha nini, ๐ ๐ ๐
Sindio nashangaa , Wewe mtu kama Madame ritha yule au mange kimambi una muachaje !? Aache hizo bhana44 analika mkuu, ukute ni mtu ana visent bado anajipenda , anaishi mjin analika vzr sana !!!! Jamaa anakwama wapi huyu
Jamaa haudhurii vikao vya kiumeniSindio nashangaa , Wewe mtu kama Madame ritha yule au mange kimambi una muachaje !? Aache hizo bhana
Absolutely ๐ฏ๐๐Jamaa haudhurii vikao vya kiumeni
Ahahah kwangu namuona age gooNi aged sana au analika ? Unafeli aisee
๐๐๐ sawa mkuu naichukua๐๐๐ Sikimya kimya kwani mkipeana mta watangazia watu !? Hakuna Msafi kamili Duniani, wee mle tu
Alikuwa mtendaji af akikuwa hajipendi44 analika mkuu, ukute ni mtu ana visent bado anajipenda , anaishi mjin analika vzr sana !!!! Jamaa anakwama wapi huyu
Hao siwez achaSindio nashangaa , Wewe mtu kama Madame ritha yule au mange kimambi una muachaje !? Aache hizo bhana
Hiyo feature unaiwasha kwanza kwenye settings baada ya hapo ukitaka kuifunga app inabidi uwe umeifungua unabonyeza power button mara tatu inajipiga pinYaani wakati una bonyeza hiyo button inatakiwa uwe umeifungua hiyo app sindio !? Na unaitoaje lock !?
Noma sanaNdio ndio iyo iyo nikiweka hivyo nakuavhia at wiki
Okay inaitwaje !?Hiyo feature unaiwasha kwanza kwenye settings baada ya hapo ukitaka kuifunga app inabidi uwe umeifungua unabonyeza power button mara tatu inajipiga pin
Kuitoa unabonyeza power button mara mbili inafunguka au unaweza kuitoa kwa passcode yako ya kufungulia simu au face id
Kote kote ana pitaSimu ni roho ya mtu.kiujumla simu yangu huwa sipendi mtu mwingine yoyote aguse.
Na hasa pale unampa mtu simu aandike no au acheck kitu anaingia mara whatsap, mara insta ni tabia mbovu sana.
Ipo kwenye iphone settingOkay inaitwaje !?