Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
SEMA Jambo kaka.Noma sana
Ova
SEMA Jambo kaka.Noma sana
Ova
Naja 😂😂Njoo kwenye iphone
Upo kama mimi master , ukitoa picha za vibonzo sina picha yangu kwenye simu , nilikua nazo mbili nazo nimefuta hata picha za kawaida tu sina hata moja labda passport size tu😅Shida ya JF ni moja tu mtu akitoa testimony za Jambo Fulani watu wanakimbilia kusakama huyo mtuu 🙌🙌🙌
😁🤣😅 Mimi shepherd kabisa naanzaje kuwa na video za ngono kwenye simu.
NB. Mm simu zangu ie. Zipo 3 hata ringtone siwekagi zipo silent mode muda woteeee sina video Wala picha Wala wallpaper siweki
Mimi bhana suala la ringtone limenishinda kabisa kuweka hata simu iwejeShida ya JF ni moja tu mtu akitoa testimony za Jambo Fulani watu wanakimbilia kusakama huyo mtuu 🙌🙌🙌
😁🤣😅 Mimi shepherd kabisa naanzaje kuwa na video za ngono kwenye simu.
NB. Mm simu zangu ie. Zipo 3 hata ringtone siwekagi zipo silent mode muda woteeee sina video Wala picha Wala wallpaper siweki
😂😂 unakataa ila tunajua ni wewe 😂😂Shida ya JF ni moja tu mtu akitoa testimony za Jambo Fulani watu wanakimbilia kusakama huyo mtuu 🙌🙌🙌
😁🤣😅 Mimi shepherd kabisa naanzaje kuwa na video za ngono kwenye simu.
NB. Mm simu zangu ie. Zipo 3 hata ringtone siwekagi zipo silent mode muda woteeee sina video Wala picha Wala wallpaper siweki
Kwamba upigi pichaUpo kama mimi master , ukitoa picha za vibonzo sina picha yangu kwenye simu , nilikua nazo mbili nazo nimefuta hata picha za kawaida tu sina hata moja labda passport size tu😅
Na weka kwa wakatiMimi bhana suala la ringtone limenishinda kabisa kuweka hata simu iweje
😂😂😂 we kwanin usingeenda kwenyrle lengo tuDada yetu mmoja muislam safi na mshauri mzuri wa maisha. Mshangazi aliyenyooka hataki ujinga.
Siku PC yake imesumbua akaniomba nimsaidie. Aisee dada kajaza porno za kuingilia kinyume na maumbile CP yote. Kila unapofungua unakutana na hayo madude.
Daa. Watu wanavyoonekana na uhalisia sio sahihi
Dah noma sanaSEMA Jambo kaka.
Nilijikuta nachunguza tu.😂😂😂😂😂 we kwanin usingeenda kwenyrle lengo tu
Nyumbani varangati uliianzisha ww au wife?Way back nina mchepuko wangu ni mmama tu age imeenda kanizidi umri mbali sema alikuwa na tako la kwenda na kutokana na kujipenda alikuwa analika vizuri tu,nilikuwa na kawaida tukimaliza shuhuli basi nampiga picha katika mikao tofauti tofauti akiwa uchi kumbe zile picha zinaingia kwenye memory card ya simu na mimi sikutilia maanani sana.Basi bwana,wife naye ni mfukunyuku kavizia simu iko chaji katoa memory card akaweka kwenye simu yake na ndipo hapo akakutana na hizo picha za kihasara hasara.Tatizo lake hana kifua si ndio kwenda kumuonesha mama yangu mzazi uchafu wa mtoto wake( maana tulikuwa tumemtembelea likizo).Nilinyanyua mabegi yangu usiku huo huo na kurudi kwangu na likizo ikaishia hapo ila varangati lilihamia nyumbani.Ilichukua muda mrefu sana hiyo kesi kuisha na ndio maana kwa sasa niko makini sana maana mimi ni mpenzi wa kupiga picha tunapomaliza shoo ya kitandani
Watu wanatokaga na mapovuu bafuni🥺Aseeh simu yangu ipo safi mara zote,
Kikubwa zaidi napenda usiri ndani ya simu yangu!!
Kumpa mtu keshafika WhatsApp, mara gallery ndo maana mtu yeyote hagusi simu yangu!
Over
Hata hao mipango ya kando Kuna namna mtamzoesha tutumie either WhatsApp au telegram tuu, hakuna normal text akienda kinyume ameisha, 😂😂Watu wanatokaga na mapovuu bafuni🥺
Kuwai simuuu... Kuna jamaa humu aliwai kutoa testimony kua Kuna siku alikosea meseji ya mchepuko akatuma kwa WIFE wake.
Anasimulia alikua kurasini AKAOMBA dharura ofsini akaenda home kimara/ mbezii akiwa njiani alikua anaona garii haitembei kabisa akafika home akamkuta wife sebuleni moja kwa moja CHUMBANI akakuta wife hata hajafungua simu/ meseji jamaa akafuta meseji
Siku iyooooo akamtoa wife outing kabisa maana alichanganya madesa ilikua nomaa sanaa
Hii akiba ya maneno nimeipenda kwa Sasa issue za kupiga piga picha ni noma Sana.Dah noma sana
Haya mambo ya kupigapiga picha sjui kutumiana,ipo siku tu utajikwaa 😄
Nishawahi kukaa sehemu na mtu napiga kilaji jamaa yangu akanionesha picha ya mama hakim wa mahakama fulani kamtumia 😄 ikabidi nimwambie mwamba futa hiyo isije ikatokea siku ukajisahau ukamuaribia huyo mama,sasa kama leo umenionesha mimi kesho si utawaonesha wengine...
Jamaa alinielewa akaifuta hadi kwenye recycle bin akaenda kuifuta
Na nkamwambia mwambie aache kukutumia mapicha,nyie kama mnatafutana mna gongana ,gonganeni mkiwa faragha
Ova
Mimi na simu tatu moja naiacha ofsn kwa ajir ya kazi only Kuna simu mbili ndio huambatana nazo popoteeHata hao mipango ya kando Kuna namna mtamzoesha tutumie either WhatsApp au telegram tuu, hakuna normal text akienda kinyume ameisha, 😂😂
Amani ya ndoa muhimu sana,Mimi na simu tatu moja naiacha ofsn kwa ajir ya kazi only Kuna simu mbili ndio huambatana nazo popotee
Kuna simu yangu moja hii wife hupendelea Sana kuishika na huwa ana kipaji Cha kusoma na kuangalia kila kituu
So Jana Kuna ex wangu Mimi na yeye ni soulmate Jana kanicheki kua kanikumbuka na JINSI NILIVYO JUA KUUPELEKA MOYO WAKE MBIO MBIO Haikua bahati maishani tuliachana kila mmoja akiwa anampenda mwenzake..
Tuli chati mengi na tuka ambiana mengi 🤣
Usiku nilipo lala nikamkuta wife na Ile simu yangu anayo ipenda kuitumia huwa haina shida kabisa
Hii ingine angekuta chat zetu ingekua balaa lingine mkuu Niki chati nae nachati kwa taadhari Sana Mimi sipendagi migogoro na wife huwa inaharibu Sana amani ya ndoa.
sawa, Mimi sifichi kitu kabisa😁Na mie bInaadamu jamani....na siri zangu 😛
Wewe ukiwa na pa password 🔑 🔑 na unaenda na simu bafuni utakimbiwaa 🏃🏃🏃Amani ya ndoa muhimu sana,
Yangu ataiona juu kwa juu aseeh 😂
simu zina Siri nyingi zaidi ya cheating
Kudadeq......Unakuta umejaza porn picture [emoji2777] & videos
Nakumbukaa miaka ya 15 years back nikiwa kwenye daladala segerea - mwenge.
Mwamba mmoja video ikaji [emoji3504] play mzee sautii ya juuu za miguno na mahabaa
ndiii ndiii ndiii JAMAA ALI HAHAA [emoji1787] KUWEZA KUI MUTEE [emoji349] video aisee daladala WOTEE kimyaa ilikua fedheha kubwaa Sanaa [emoji4] ikabidii ashuke kituo kilicho fuataaa [emoji125][emoji125][emoji125]