Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Simu hata siend nayo bafuni Ila sipendelei mtu ashike simu yangu kiuhalisia, ni kama naona anataka kunijuaWewe ukiwa na pa password 🔑 🔑 na unaenda na simu bafuni utakimbiwaa 🏃🏃🏃
Simu hata siend nayo bafuni Ila sipendelei mtu ashike simu yangu kiuhalisia, ni kama naona anataka kunijuaWewe ukiwa na pa password 🔑 🔑 na unaenda na simu bafuni utakimbiwaa 🏃🏃🏃
Sijiteuagi bwana, ila siri ninazo teleeeUtaki mtu ajue kama una ji chetuaga
Haaahaa 😆 🤣 nyinyi team KATAA NDOA/ TUNZA KIBUNDA 💰 MFUKONIsawa, Mimi sifichi kitu kabisa😁
Vijana waoe aseeh,Haaahaa 😆 🤣 nyinyi team KATAA NDOA/ TUNZA KIBUNDA 💰 MFUKONI
VERY TRUE 😃 HUWA HAMFIC
Siku ukioa alafu mkeo akawa anataka ajue kinacho endelea kwenye simu yako ndipo utakumbuka ule usemi "" Mta waacha baba na mama na kua MWILI"" Anataka asome unachati Nini unaongea na nani ?Simu hata siend nayo bafuni Ila sipendelei mtu ashike simu yangu kiuhalisia, ni kama naona anataka kunijua
Noma SANAAKudadeq......
Mi ilitokea Maza mmoja kanipa simu nimsetie Whatsapp.....ghafla phoenix ikafanya yake ......ukiwaaha data Ina display picha za wadada naked kwenye kioo ......tukabaki tunawalaumu tu wazungu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tuombe uzima, ntakupa feedback siku moja,Siku ukioa alafu mkeo akawa anataka ajue kinacho endelea kwenye simu yako ndipo utakumbuka ule usemi "" Mta waacha baba na mama na kua MWILI"" Anataka asome unachati Nini unaongea na nani ?
Hahaha kwa nini bwashee?
KATAA NDOAAAA/ CHUNGA KIBUNDA💰💰💰Hahaha kwa nini bwashee?
🙌🙌🙌🙌
Hii nomaKATAA NDOAAAA/ CHUNGA KIBUNDA💰💰💰
Kwa Nini? Kivipiii hauna maajabu 😊😊Simu yangu haina maajabu
Namba za watu wa muhimu zote zipo kichwani, hivyo tutatumia yako kuwasiliana naoKwa Nini? Kivipiii hauna maajabu 😊😊
Umenikumbusha jamaa mmoja alivunjika miguu kwa ajari alikua derevaa wa magari makubwa.
Alipo kua amelazwa hospital mkewe alimtembelea Mara moja hospital muhimbili baadae alipo toka hospital huyo mkewe akampa ujumbe mumewe kua yeye na jamaa Basi/ waachane.
#Hamisi Mimi na wewe Basi HAUNA MAAJABU Tenaa (mkewe)
😂😂 android shidaKudadeq......
Mi ilitokea Maza mmoja kanipa simu nimsetie Whatsapp.....ghafla phoenix ikafanya yake ......ukiwaaha data Ina display picha za wadada naked kwenye kioo ......tukabaki tunawalaumu tu wazungu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naomba niazime simu nimpigie mtuSimu hata siend nayo bafuni Ila sipendelei mtu ashike simu yangu kiuhalisia, ni kama naona anataka kunijua
Naomba niijue mojaSijiteuagi bwana, ila siri ninazo teleee
Nakupatia Ila nikute ushafk kwenye gallery utasema 😂Naomba niazime simu nimpigie mtu
Wew ume mzoesha mkeo vibaya ipo waziSiku ukioa alafu mkeo akawa anataka ajue kinacho endelea kwenye simu yako ndipo utakumbuka ule usemi "" Mta waacha baba na mama na kua MWILI"" Anataka asome unachati Nini unaongea na nani ?