Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Masta nimechelewa kuiona post, naonda thread haijaisha, kuna muendelezo ,,,,,

Ungefanya namna agundue umeziona hzo picha 😊
 
Ni mwendo wa hapa tu
View attachment 3399223
Af kuna watu simu zao na zijua passwrd ila yangu hakuna anae jua na sitaki kumpa mtu ashike zaidi ya dikika 2 pia kuna style nimeweka ukiomba simu unataka kupiga kabla sijakupa naweka lock huendi popote zaidi ya hapo hapo
Yaah Guided Access hiyo unabonyeza power button mara tatu ngoma inajipiga pini kwenye app moja tu
 
Hamnaa mbona vibinti vinatoka na mababu , sometimes tunapaswa kulipiza , halafu Kuna mabimkubwa wengine wamesimama Yaani wazuri wasafi wee sio poooahh
Mimi kwangu ngumu sijui mbeleni
 
Ni hatari sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unakuta umejaza porn picture 🖼️ & videos

Nakumbukaa miaka ya 15 years back nikiwa kwenye daladala segerea - mwenge.

Mwamba mmoja video ikaji ▶️ play mzee sautii ya juuu za miguno na mahabaa
ndiii ndiii ndiii JAMAA ALI HAHAA 🤣 KUWEZA KUI MUTEE 🔕 video aisee daladala WOTEE kimyaa ilikua fedheha kubwaa Sanaa 😊 ikabidii ashuke kituo kilicho fuataaa 🏃🏃🏃
 
Itakuwa ulikuwa ni wewe
 
Back
Top Bottom