Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #161
Sio mbaya sanaSio powa sema alikuwa ametuzd age sanaa ss tulikuwa fom2 yy chuo
Sio mbaya sanaSio powa sema alikuwa ametuzd age sanaa ss tulikuwa fom2 yy chuo
Dah 😂😂Kifalsafa hakuna sababu ya msingi ya kuonea aibu uchi wako.
Umezaliwa uchi.
Kila mtu anao uchi.
Sasa hizi complications zote za nini?
Niachie leoSimu yangu haina vitu vya ajabu, naweza kumpa mtu yoyote
We ungekubali? 😂Alikana sio zake ni binti wa kazi kashika simu yake eti wakati binti wa kazi yeye ni Black na picha sio zake
😂😂 au sioSasa shida nini hapo kijana?
Mshangazi umeamua kujipiga mapicha wajomba zako tutumiwe hakuna noma
Wewe tengeneza simu yake mrudishie aendelee kujipiga mapicha anitumie mjomba wako nijizimue na cha mkwezi
Ningepotezea tu wala nisingejaliWe ungekubali? 😂
Sasa wewe unacheka nini? Mambo yashapita ukorofiiiiiiii 😂Akichangia mada na majivuno yake nawekaga emoj za kucheka tu nahisi ananichukia kimya kimya😆
Sio vyepesi ivyoNingepotezea tu wala nisingejali
Jau sanaKuna picha nishatuma kwa mtu kwa bahati mbaya (haikuwa picha mbaya lakini haikuwa inamhusu hata kidogo).
Tangu hapo nikajua kuweka vitu ambavyo sitaweza kuelezea wengine kwanini ninavimiliki kwa simu kutaniletea fedheha. Hivyo sikai na picha/videos ambazo siwezi tazama nikiwa sehemu ya umma.
Kwenye sms, whatsapp sidhani kama kuna cha kunifunga mpaka mda huu.
😂😂😂 utaki shidaNimenyooka kama rula, sihifadhi picha au video chafuchafu.
Ninajua mahali pa kuvipata muda wowote, kwanini nikae navyo.
Groups za kipuuzi sina kabisa.
Labda tu atafaidi kuijua username yangu ya hapa jf.
Duh alikosea sasa anaenda muonesha mama mkwe ili iweje mimi ninge mgeuzia kesiWay back nina mchepuko wangu ni mmama tu age imeenda kanizidi umri mbali sema alikuwa na tako la kwenda na kutokana na kujipenda alikuwa analika vizuri tu,nilikuwa na kawaida tukimaliza shuhuli basi nampiga picha katika mikao tofauti tofauti akiwa uchi kumbe zile picha zinaingia kwenye memory card ya simu na mimi sikutilia maanani sana.Basi bwana,wife naye ni mfukunyuku kavizia simu iko chaji katoa memory card akaweka kwenye simu yake na ndipo hapo akakutana na hizo picha za kihasara hasara.Tatizo lake hana kifua si ndio kwenda kumuonesha mama yangu mzazi uchafu wa mtoto wake( maana tulikuwa tumemtembelea likizo).Nilinyanyua mabegi yangu usiku huo huo na kurudi kwangu na likizo ikaishia hapo ila varangati lilihamia nyumbani.Ilichukua muda mrefu sana hiyo kesi kuisha na ndio maana kwa sasa niko makini sana maana mimi ni mpenzi wa kupiga picha tunapomaliza shoo ya kitandani
Ni kweli ila utajidtukiaHakuna haibu ya kudumu wewe.
o mahala pake kwa kuficha usiweze wazi wazi utajikuta umetuma pichaHapo kuna vitu vya kutisha mno ila ngoja nivifute tuView attachment 3398551
Eeh kumbe unadinya demu wangu hapo Wilaya moja ya Mkoa fulani eeh?Simu itakua kwa mke atafuta fasta fasta ili watu wasijue kama nlikuwa namdinya Hilda
Bila shaka ni chaputa wewe! 🤣🤣🤣🤣Simu yangu imejaa zile picha za kwenye ule uzi wa "picha za warembo wakali world wide".
Yaani picha zote za kwenye ule Uzi nimezipakua hadi simu imekuwa nzito.
Je, Nina makosa?! 🤔.
Cc Harmful Mbaga Jr Mama Ndege
Kumbe huyu ni demu wako? Mwambie apunguze amazonEeh kumbe unadinya demu wangu hapo Wilaya moja ya Mkoa fulani eeh?
Ndio Mkuu, amazon ni nini? Demu wangu huyo toka O level, sema vizungu vingiKumbe huyu ni demu wako? Mwambie apunguze amazon
Uyo ua kabisaEeh kumbe unadinya demu wangu hapo Wilaya moja ya Mkoa fulani eeh?
Duuuh!Kuna mama ni katikista wa kanisa, simu yake ilikuwa inakwama kwama akaniomba nimuangalizia.
Niligundua memory iko full maana simu yenyewe ina uwezo mdogo. Katika kufuta futa files nilikutana na video za kusagana kibao.
Kwa vile zilikuwa kwenye folder ya video za whatsapp nilipatwa na shauku ya kujua zilipotokea. Ilibidi niingie whatsapp yake. Huko sasa ndio nilikutana na mambo ambayo yalinifanya nisiweze kuwaangalia usoni baadhi ya kina mama na vibinti vya hapo kanisani mpaka leo.