min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sureahaaa
Sureahaaa
Iyo ya mtungo ilikuwajeSasa we utamfanya nini we mpe show basi zamani apo kuna mmama mmoja alikua anapenda mazoea na mimi kuna siku ilikua jioni jioni ya kigiza nilipita kwake akaleta mazoea ya kunisindikiza wakati naondoka sio siri nili mto..mbea pagarani kwake na nilimvua nguo zote usiku ule hahahaaaaaaa moja ya matukio yangu ya hovyo ukiacha la kumpiga mtungo mmama moja hivi mjinga mjinga....
Kazi yangu kupakua tu mkuu.We ndiyo wale wakina sisi tunapitia kimya kimya mbona sionagi comment zako 😂😂😂
Wa kigomasioMzee wangu hata wewe usingeweza omba mechi, moja ya sababu ya kutoweza kuwaangalia wahusika baada ya hapo.
Unamjua yule Bibi wa Rwanda alie trend na nyimbo ya brud of jesus??
View attachment 3398462
Badala ya hiyo nguo nyeusi mvalishe gauni la kitenge na rubber ya converse oversize.
Unaanzaje kuomba mechi hapo??
Nilijua utaona wivu na kunitumia haraka...Hizo ulizo nazo zinakutosha
Uyo jamaa safi kabisa uyoKuna sheikh pale Mloga, a litakuwa kufanyiwa surgery. Mda ukawadia na ajabu akamwachia Dr simu na kumpa warning kabisa, ikitokea nimekufa telekeza simu yangu, hakikisha humpi mtu...ALISISITIZA!!
Mzee wangu hata wewe usingeweza omba mechi, moja ya sababu ya kutoweza kuwaangalia wahusika baada ya hapo.
Unamjua yule Bibi wa Rwanda alie trend na nyimbo ya brud of jesus??
View attachment 3398462
Badala ya hiyo nguo nyeusi mvalishe gauni la kitenge na rubber ya converse oversize.
Unaanzaje kuomba mechi hapo??🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 hapo huwezi ase zaidi ya kushangaa tuMzee wangu hata wewe usingeweza omba mechi, moja ya sababu ya kutoweza kuwaangalia wahusika baada ya hapo.
Unamjua yule Bibi wa Rwanda alie trend na nyimbo ya brud of jesus??
View attachment 3398462
Badala ya hiyo nguo nyeusi mvalishe gauni la kitenge na rubber ya converse oversize.
Unaanzaje kuomba mechi hapo??
Unapakua kwa faida ya wakati ujao 😂Kazi yangu kupakua tu mkuu.
Sina muda wa ku comment 😂
Ndiyo maana yake!Unapakua kwa faida ya wakati ujao 😂
Huna baya mkuuSimu yangu imejaa zile picha za kwenye ule uzi wa "picha za warembo wakali world wide".
Yaani picha zote za kwenye ule Uzi nimezipakua hadi simu imekuwa nzito.
Je, Nina makosa?! 🤔.
Cc Harmful Mbaga Jr Mama Ndege
Simu itakua kwa mke atafuta fasta fasta ili watu wasijue kama nlikuwa namdinya HildaUtapigwa ufufuke
🤣🤣🙌🙌Simu yangu haiwezi nitia aibu nikiwa hai, na nikifa itanitiaje aibu wakati nimeshakufa tayari?
We kijana usijidanganyeSimu itakua kwa mke atafuta fasta fasta ili watu wasijue kama nlikuwa namdinya Hilda
Et tusitishane 😂😂Mimi najitia aibu mwenyewe kabla simu yangu haijahusika.
Isiwe tabu wala nini tusitishane hapa.
WA kuua watoto ambao wanaweza kuja kuwa majambazi 🔥Pia huwa napika mlenda kila siku na Mimi huwa sili mlenda.
Sasa jiulize kwa nini naupika.
Aibu sana vingine vibaki moyoni tu sio vya kuhifadhi kwenye simuIkitokea imetokea umefuka au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile
Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa
Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika
Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Well said 😎.WA kuua watoto ambao wanaweza kuja kuwa majambazi 🔥
Kwani shingi ngapi mwana? 😂😂Et tusitishane 😂😂
Umeona eeAibu sana vingine vibaki moyoni tu sio vya kuhifadhi kwenye simu