Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #101
Sina hakikaAliutaka mwenyewe afu bro wanawake nasikia wanapenda sana hizi mambo za kubanduliwa na wanaume wawili
Sina hakikaAliutaka mwenyewe afu bro wanawake nasikia wanapenda sana hizi mambo za kubanduliwa na wanaume wawili
Sio kwak sisi tunaokujuaYaani uchi wako unakushushia heshima kwenye simu yako 🤔?
KwakweliMbali na kuhifadhi video na muziki watanzania wengi hatujui kabisa maana ya simu za kisasa.
Kuna huyu mmoja alikuwa kila akijipiga picha au kuchukua video, screenshot zote zinajihifadhi kwenye google. Mungu si mjumbe amekuja iuza bila ku remove google account yake, kilichotokea anakijua yeye.
Tuwe makini sana🕴️
Ulikuta chumaLong time kidog kuna pisi iliazima memory card kwa mshikaj wang asa kumbe ile memory ilikuwa inashida ya kugoma kufuta kitu ukiweka, alijpiga naks izo afu akashindwa kufuta oyaa ilibid tukaformat memory yote.😂
Sijasema ujiachie watu wakujue free. Sitaki unafiki huku kwenye simu una mapilau, huku mzee wa kanisa.Kwahy wewe umejiachia watu wakujue free
If you know, you know.
Maneno si makali mnayapa ukali wenyewe tu.Punguza ukali wa maneno mkuu hasa hapo xvideos oooh sorry Bangbros😇😇😇
Sio powa sema alikuwa ametuzd age sanaa ss tulikuwa fom2 yy chuoUlikuta chuma
Kifalsafa hakuna sababu ya msingi ya kuonea aibu uchi wako.😂😂😂Eti mzee wa kanisa , issue inakuja kama huyo mama ni picha zake (za kwako ndio zinajipost) wanao na ndugu zako wanaona awee sio kweli
Hapo tayari 😂If you know, you know.
Ahah Kuna mda in background mtu anaweza access hizo content
Simu haiwezi kuwa na vitu vya ajabu.Simu yangu haina vitu vya ajabu, naweza kumpa mtu yoyote
😁😁😁 atakuwa alitamani kuzimia huko alikokuwaKwenye group la ukoo kuna bidada mmoja ana mashauzi kinouma alishatupia bahati mbaya nyara za serikali .
😁😁😁 Mama Mjengo ataipiga vibao maitiSipati picha nimekata moto ghafla then yule mwanamke atake kubebishana, halafu handset ipo kwa mama mjengo, atalia kwa hasira😅😅😅
Alikana sio zake ni binti wa kazi kashika simu yake eti wakati binti wa kazi yeye ni Black na picha sio zake😁😁😁 atakuwa alitamani kuzimia huko alikokuwa
😁😁😁 aisee wife hatotaka mume uaibike kabisaSimu itakua kwa mke atafuta fasta fasta ili watu wasijue kama nlikuwa namdinya Hilda