Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Ndiyo maana.Hapana kiongozi
Ndiyo maana.Hapana kiongozi
Hakuna haibu ya kudumu wewe.Ikitokea imetokea umefuka au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile
Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha aliniomba msaada nilicho kuja kukutana nacho sijawai simulia kwa mtu nasimulia leo hapa
Niliona picha zake za naked kajichanua kama ua saa nne niliona aibu sana sema nikajitahidi simu isiende kwingine asije dhidi kudhalilika
Jitahidini kufuta baadhi ya mambo
Hatari sana mkuu 😅😅😅
Muhimu hiyo😁😁😁 aisee wife hatotaka mume uaibike kabisa
Sanaa kuna siri nyingine inabidi tu utunze kumsitiri MwenzakoMuhimu hiyo
Hatari sanaKuna mama ni katikista wa kanisa, simu yake ilikuwa inakwama kwama akaniomba nimuangalizia.
Niligundua memory iko full maana simu yenyewe ina uwezo mdogo. Katika kufuta futa files nilikutana na video za kusagana kibao.
Kwa vile zilikuwa kwenye folder ya video za whatsapp nilipatwa na shauku ya kujua zilipotokea. Ilibidi niingie whatsapp yake. Huko sasa ndio nilikutana na mambo ambayo yalinifanya nisiweze kuwaangalia usoni baadhi ya kina mama na vibinti vya hapo kanisani mpaka leo.
Noma sana😁😁😁 Mama Mjengo ataipiga vibao maiti
😁😁 ila atakutunzia siriNoma sana
Zina sura mbaya ila tamuanapiga bwawa lake picha ili iweje, au ajione yukoje humo uvunguni?
Nimeshangaa ujue nlijua mpwayungu village kaamua awapumzishe maticha kumbe kaja kwa staili hii, walimu sijui watachomokea wapi....Kumbe Kaja Kivingine
Kwani najali😅😅😅mda huo naliwa na funza sijui hata nani anaichqpa!!😁😁 ila atakutunzia siri
😄😄😄 hatari sanaKwani najali😅😅😅mda huo naliwa na funza sijui hata nani anaichqpa!!
😂😂 uta ishi sanaSijasema ujiachie watu wakujue free. Sitaki unafiki huku kwenye simu una mapilau, huku mzee wa kanisa.
Mimi sijawahi kusema mzee wa kanisa hivyo hata ukinikuta na mapilau nitakwambia hayo mbona madogo ngoja nikupeleke live ukaone mengine nilienda nude beach Uholanzi hayo utakimbia mwenyewe.
Yani sitaki ule unafiki wa mtu kujifanya mzee wa kanisa kumbe kila siku unakula chabo.
😂 utaki ujinga kabisa