Way back nina mchepuko wangu ni mmama tu age imeenda kanizidi umri mbali sema alikuwa na tako la kwenda na kutokana na kujipenda alikuwa analika vizuri tu,nilikuwa na kawaida tukimaliza shuhuli basi nampiga picha katika mikao tofauti tofauti akiwa uchi kumbe zile picha zinaingia kwenye memory card ya simu na mimi sikutilia maanani sana.Basi bwana,wife naye ni mfukunyuku kavizia simu iko chaji katoa memory card akaweka kwenye simu yake na ndipo hapo akakutana na hizo picha za kihasara hasara.Tatizo lake hana kifua si ndio kwenda kumuonesha mama yangu mzazi uchafu wa mtoto wake( maana tulikuwa tumemtembelea likizo).Nilinyanyua mabegi yangu usiku huo huo na kurudi kwangu na likizo ikaishia hapo ila varangati lilihamia nyumbani.Ilichukua muda mrefu sana hiyo kesi kuisha na ndio maana kwa sasa niko makini sana maana mimi ni mpenzi wa kupiga picha tunapomaliza shoo ya kitandani