Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,280
- 7,968
Ipo ndichi huko mtu akifungua hapo ni kisangaUko ndi
o mahala pake kwa kuficha usiweze wazi wazi utajikuta umetuma picha
Ipo ndichi huko mtu akifungua hapo ni kisangaUko ndi
o mahala pake kwa kuficha usiweze wazi wazi utajikuta umetuma picha
Ahahah ana funguaje na face lock au passwrdIpo ndichi huko mtu akifungua hapo ni kisanga
Inafunguliwa na sura yangu hiyo labda mtu aniotee nikiwa nimelala alengeshe usoni na haitoweza kufunguka kama macho yamefungwaAhahah ana funguaje na face lock au passwrd
😂😂😂Simu yangu haiwezi nitia aibu nikiwa hai, na nikifa itanitiaje aibu wakati nimeshakufa tayari?
Ungemla TuAlikuwa ana lingana na umri wa dada angu wa kwanza
Ni mwendo wa hapa tuInafunguliwa na sura yangu hiyo labda mtu aniotee nikiwa nimelala alengeshe usoni na haitoweza kufunguka kama macho yamefungwa
Wewe simu yako ipo salama mkuu?hautoharibu Cv mtu akishika
Savage 😂😀Kuna mama ni katikista wa kanisa, simu yake ilikuwa inakwama kwama akaniomba nimuangalizia.
Niligundua memory iko full maana simu yenyewe ina uwezo mdogo. Katika kufuta futa files nilikutana na video za kusagana kibao.
Kwa vile zilikuwa kwenye folder ya video za whatsapp nilipatwa na shauku ya kujua zilipotokea. Ilibidi niingie whatsapp yake. Huko sasa ndio nilikutana na mambo ambayo yalinifanya nisiweze kuwaangalia usoni baadhi ya kina mama na vibinti vya hapo kanisani mpaka leo.
Mama mtu mzima wa 80 hPaUngemla Tu
Yaani hapo hapo ndio ungeanzia kwenye mtongozo
Kmmk 😁Kuna ambao tunamtongoza chatgpt na kuomba show hii aibu ni kubwa sana
Tobaaaaa 🙌Mama mtu mzima wa 80 hPa
Mmhh !! 🤔🤔Hakuna chochote watakacho kutana nacho ktk cm yangu cha kushangaza.
Kwa kifupi sina mambo meusi.
Angekuwa makamo sawaTobaaaaa 🙌
Miaka 80 duhh!! Mbali sana hapo lazima upate laana 🙌😁😁Angekuwa makamo sawa
No namaanisha amezaliwa 80Miaka 80 duhh!! Mbali sana hapo lazima upate laana 🙌😁😁
Kwanza ngozi yake yenyewe Unakuta imesinyaa mhh!!! Hapana Aisee
Nikishika tu dk5 naanza kuhema kwa kasi😅😅Simu yangu haina vitu vya ajabu, naweza kumpa mtu yoyote
Walioko huru ni wachache sana mkuu, tena bora hata wamama wanajitahidi.kama uko huru simu yako itumike na mwenzi au watoto basi haina shida yoyote.
Wote tuseme Amina.Sasa suala la naked najishushiaje heshima mkuu?
Anyway ya kwangu hata ashike mtoto hakuna baya atakutana nalo kabisa.
Nimenyooka.
Aaghh hapo si- Ana 40s unapiga tu Mzee hakuna baya hapo ,No namaanisha amezaliwa 80