Una wazo au swali la "kijinga"? Liweke hapa

Una wazo au swali la "kijinga"? Liweke hapa

Hivi inawezekana huko mbeleni milima yote ikaishia baharini kutokana na kusombwa na maji polepole?
312fcaa231602ee9ac31405b186ec10b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir God akiturudishia bikra zetu……..nyie wanaume wangese wangese mliotubaka hatuwapi fursa ata ya kutusogelea nyambafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ingekua nywele zikiwa ndefu tunabadilisha tu kichwa,hawa vinyozi wangekula wapi?
 
Hivi kwenye kuishi tungekua tuna anzia uzeeni halafu tunakua watoto ni nani angetulea wakati tunazaliwa? coz wazazi wetu wangekua kwenye stage ya utoto wakati sisi tungekua tayari ni wazee.
 
Back
Top Bottom