Una Wazo zuri la biashara? Niambie tufanye wote biashara

Una Wazo zuri la biashara? Niambie tufanye wote biashara

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
3,324
Reaction score
1,377
Habari zenu wakuu.

Natumai mnaendelea vyema na harakati
za kusukuma gurudumu la maisha.

Wakuu mimi nina pesa lakini sina
idea nzuri ya biashara na kuna watu
wengine humu jamiiforums
wana idea nzuri lakini hawana mtaji.

hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwa wiki
kama tatu zilizopita nilianzisha uzi hapa
wenye kichwa cha habari "ukipata millioni
10 utafanya biashara gani? ???"
lakini mpaka leo sijapata idea nzuri

Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale
wenye idea za biashara lakini
kinachowakwamisha ni mtaji.

Kama wewe unaamini una wazo zuri la
biashara na huna mtaji,basi mimi nataka
kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji
wa kuanzia milioni 2 mpaka million 10
kama nitashawishika na wazo lako.

Ninachotaka ni hivi,nataka faida
itakayopatikana kwa biashara itokanayo
na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.

KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka
tushirikiane ili sote tupate faida.

Sanasana nataka mawazo mazuri tena
ufikirie "nje ya box" sio hizi biashara
ambazo kila mtu anafikiria

HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu
kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute
mbinu za UHAKIKA za kunifanya
nikuamini.

Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze
kuliamini wazo lako la biashara kabla
sijawekeza pesa zangu.

Are you interested?

Please PM me.

Thank you and God bless you all.


............
 
Wazo la bishara tunaweza kukupa hata bila kushirikiana, ila kabla sijakupa wazo lako, napenda nifaham yafuatayo toka kwako...
1) ,umri wako na jinsia, hii ni kwa sabab baaz ya biashara zinaweza fanywa na watu wa rika na jinsia flan tu.
2) sehem unapokaa au kuish, nalo ni jambo jema kwa kuangalia upatikanaji wa bidhaa na masoko.
3) elimu yako pia swala la mhisimu, sababu baadh ya biashara zaweza fanywa na watu wenye elim ya ngaz flan kulingana na bishara.
4) fani na ujuzi wako, mbali na swala la elimu ujuzi na fani yaweza sababsha kuendelea au kukwama kw bishara, so that why napenda nijue vtu hivy toka kwako.
5) upendeleo "personal interests" pia napenda kujua, ww kama unapenda kufanya biashara zipi ktk maisha yako? (OPTION)


Plz ndg naomba nijibu kwanza mswali hayoooo
Tutaendeleea...
 
Wazo la bishara tunaweza kukupa hata bila kushirikiana, ila kabla sijakupa wazo lako, napenda nifaham yafuatayo toka kwako...
1) ,umri wako na jinsia, hii ni kwa sabab baaz ya biashara zinaweza fanywa na watu wa rika na jinsia flan tu.
2) sehem unapokaa au kuish, nalo ni jambo jema kwa kuangalia upatikanaji wa bidhaa na masoko.
3) elimu yako pia swala la mhisimu, sababu baadh ya biashara zaweza fanywa na watu wenye elim ya ngaz flan kulingana na bishara.
4) fani na ujuzi wako, mbali na swala la elimu ujuzi na fani yaweza sababsha kuendelea au kukwama kw bishara, so that why napenda nijue vtu hivy toka kwako.
5) upendeleo "personal interests" pia napenda kujua, ww kama unapenda kufanya biashara zipi ktk maisha yako? (OPTION)


Plz ndg naomba nijibu kwanza mswali hayoooo
Tutaendeleea...

Kiufupi, wewe ndio TBS.
 
Wazo la bishara tunaweza kukupa hata bila kushirikiana, ila kabla sijakupa wazo lako, napenda nifaham yafuatayo toka kwako...
1) ,umri wako na jinsia, hii ni kwa sabab baaz ya biashara zinaweza fanywa na watu wa rika na jinsia flan tu.
2) sehem unapokaa au kuish, nalo ni jambo jema kwa kuangalia upatikanaji wa bidhaa na masoko.
3) elimu yako pia swala la mhisimu, sababu baadh ya biashara zaweza fanywa na watu wenye elim ya ngaz flan kulingana na bishara.
4) fani na ujuzi wako, mbali na swala la elimu ujuzi na fani yaweza sababsha kuendelea au kukwama kw bishara, so that why napenda nijue vtu hivy toka kwako.
5) upendeleo "personal interests" pia napenda kujua, ww kama unapenda kufanya biashara zipi ktk maisha yako? (OPTION)


Plz ndg naomba nijibu kwanza mswali hayoooo
Tutaendeleea...


Mtoa mada ni Kilaza a.k.a zero brain Lakin pesa Ipo natumain ushapata jibu la maswali yote hayo
 
Hana ela ila anajaribu kuchukua mawazo ya watu ayatume kwenye shindano la mengi la wazo la biashara ambalo kila mwez anapatikana mshindi mmoja na kupewa m10.hawa wapuuz wachache wameanzisha hizi threads tena uyu kacopy kwa mwenzake aya maneno.Umiza kichwa mkuu acha utapel
 
Habari zenu wakuu.

Natumai mnaendelea vyema na harakati
za kusukuma gurudumu la maisha.

Wakuu mimi nina pesa lakini sina
idea nzuri ya biashara na kuna watu
wengine humu jamiiforums
wana idea nzuri lakini hawana mtaji.

hivyo ndivyo binadamu tulivyoumbwa wiki
kama tatu zilizopita nilianzisha uzi hapa
wenye kichwa cha habari "ukipata millioni
10 utafanya biashara gani? ???"
lakini mpaka leo sijapata idea nzuri

Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale
wenye idea za biashara lakini
kinachowakwamisha ni mtaji.

Kama wewe unaamini una wazo zuri la
biashara na huna mtaji,basi mimi nataka
kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji
wa kuanzia milioni 2 mpaka million 10
kama nitashawishika na wazo lako.

Ninachotaka ni hivi,nataka faida
itakayopatikana kwa biashara itokanayo
na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.

KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka
tushirikiane ili sote tupate faida.

Sanasana nataka mawazo mazuri tena
ufikirie "nje ya box" sio hizi biashara
ambazo kila mtu anafikiria

HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu
kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute
mbinu za UHAKIKA za kunifanya
nikuamini.

Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze
kuliamini wazo lako la biashara kabla
sijawekeza pesa zangu.

Are you interested?

Please PM me.

Thank you and God bless you all.


............

huyu naye hapo chini amepost the same thing .... is this the same I'd? ..... or rather is this a scam?

Moderators we need your help please

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/758220-je-una-wazo-zuri-la-biashara-lakini-huna-mtaji-ongea-na-mimi.html
 
Vibaraka wa mengi wako wengii..ebu shughulisha mawazo kama wenzio usipende mteremko..!!
 
MWAJILIWA NI MTUMWA WA PESA! JE NINI CHA KUFANYA KUONGEZA KIPATO CHAKO?
Ndg zangu ukitaka kuongeza kipato chako kila mwezi lazima utambue kwa thamani ya muda wako katika kuitafuta pesa. Ukisha tambua hilo kama unajipatia pesa ambayo haikidhi mahitaji yako mpendwa hakikisha kuwa una ongeza muda wako wa kuitafuta pesa kutoka katika muda wa kawaida unao tumia kuitafuta hiyo pesa ndogo!
KWA NINI MWAJIRIWA NI MTUMWA WA PESA?
Mwalimu julius K Nyerere alisema hivi hakuna UMASIKINI MKUBWA KAMA UMASIKINI WA KUFIKILI. Ndivyo wasomi wengi na waajiliwa wengi wanaangamia kwa kutokuwa na uwezo wa kufikili na kubuni miradi mbali mbali na hatimaye kuishia kupata PESA ZA DHULUMA,WIZI NA RUSHWA. ONGEA NA WASOMI NA WAAJILIWA WENGI WAMEKATA TAMAA NA MAISHA NA HAWANA MATUMAINI KIMAISHA.

JE MFANYAKAZI ANALIPWA PESA GANI?
Wafanyakazi wote hujipatia aina ya kipato kinaitwa RECIPROCAL INCOME. Hiki ni kipato ambacho unajipatia pale tu unapofanya KAZI kwa muda fulani. Kama usipofanya kazi hii pesa haingii kabisa. Hivyo pesa inakutumikisha. Ukiondoka kwenda safari ukachelewa angalau week nane unakuta umefukuzwa kazi hii ni kumaanisha kuwa wewe ni DAY WORKER sema tu pesa yako inakusanywa na kulipwa mwisho wa mwezi. Jiulize hivi kweli km wewe ni mwajiliwa AJIRA hio utakapofikia miaka SABINI UTAIFANYA? Kama jibu ni hapana mpendwa ni hatua gani za kujikomboa imechukua na kuangalia fursa nyingi ili kuzitumia. Leo hii unakuta DAKTARI AU ENGENEER amefikisha umri wa kustaafu lakini bado tu ANAONGEZA MIKATABA katika secta binafsi hii ni kwa sababu PESA ANAYOLIPWA NI YA KUJIKIMU MAISHA HAIPO SIKU ATAKUWA NA PESA YA ZIADA AU TAJIRI ITAKAYO MFANYA AFURAHIE ULIMWENGU WA PESA. Jiulize na wewe upo Tayari kuwa mtumwa wa NAMNA HII? JE UPO TAYARI KUKUSANYIWA PESA YA JASHO LAKO NA KUPEWA KILA MWEZI. HII PESA YA KUAJILIWA HUWEZI KUTAJIRIKA HATA SIKU MOJA KWANI UNALIPWA TU PALE UNATUMIA MUDA WAKO KUITAFUTA PESA NA UNALIPWA KUJIKIMU NA SIKU ZOTE ITAKUISHIA KILA MWEZI ILI UENDELEE KUMTUMIKIA KILA SIKU MAISHA YAKO YOTE.
NOTE: MPENDWA AJIRA SIO MBAYA LAKINI PANUA WIGO WA KUFIKILI NA UFIKILIE MAISHA YA WATOTO WAKO YATAKUWAJE HAPO BAADAE? HIVYO WATUMISHI MBALI MBALI NA VIJANA WENZETU WASOMI ELIMU PEKEE HUWEZI KUFANIKIWA MPENDWA JITAHIDI KUTENGENEZA MIFEREJI MINGI YA KUINGIZA PESA.

PESA NINAYO ITAFUTA AKILIMALI NI AINA GANI YA KIPATO?

Kila siku mkumbo huwa nawaza tangu niko mtoto na kujiuliza nifanye kitu gani kitakacho nifanya nifanye KAZI MARA MOJA(MUDA MFUPI) NA KULIPWA PESA MIAKA YANGU YOTE NIWE NAKULA PESA ZANGU TU?
Huwa nawaza sana tajiri huyu hapa TANZANIA NDUGU ROSTAM AZIZ ambaye anamiliki hisa za mauzo yote ya kampuni ya vodacom kila mwezi au mwaka zaidi ya ASILIMIA 30. Hii ndio pesa hunikosesha uzingizi kwani nitafanya kazi kwa mara moja naendelea kulipwa pesa kila mara bila kufanya kazi NAPENDA SANA SIKU MOJA PESA INAYOINGIA KILA MWEZI NAFURAHIA MATUNDA HAYA NA FAMILIA YANGU KWENDA SEHEMU MBALI MBALI. LAKINI UNAPOKUWA NI MUHANGA WA RECIPROCAL INCOME HAIPO SIKU UTAFURAHIA PESA YAKO UKIENDA DUBAI UKACHELEWA UNAFUKUZWA!!!! KWA NAMNA HII HUWA SIONI UMUHIMU WA PESA KWANI HUWEZI KUNILIPA VIZURI HALAFU NISHINDE KAZINI HATA SIKU MOJA UTUMWA HUU SIUPENDI NA NDIO HUNISUKUMA KUWA MFANYA BIASHARA MKUBWA HAPA DUNIANI
.
KIPATO NINACHO KITAKA HUITWA RESIDUAL INCOME.
Hii ndio pesa ambayo utaipata kwa kufanya kazi mara moja AU NDANI YA MUDA MFUPI na kuanza kuvuna mihela kila siku bila kufanya kazi yoyote. Huyu mtu wa namna hii PESA INAMTUMIKIA!

MAKUNDI HAYA HUFURAHIA RESIDUAL INCOME
AU PESA HUWATUMIKIA

1. Wasanii wakubwa
~Msanii akisha toa wimbo kila unapopigwa miaka na miaka CDs zake zitakuwa zinauzika. Na hivyo kumwezesha kuvuna pesa kika kukicha lkn yeye kazi aliyofanya ni kutunga wimbo tu.
2. Watunzi wa VITABU
Ndg yangu nakumbuka mnajua hawa watunzi wa vitabu vya tamthilia na Riwaya mbali mbali. Baada ya kutunga kila siku huvuna pesa kitabu chake kinaponunuliwa
3. Wamiliki wa hisa kubwa za makampuni kwa mfano Rostam Azizi na wengine.
4. Wafanya biashara wa BIASHARA YA MTANDAO.

Jiulize hivi kweli hupendi RESIDUAL INCOME? Na kama unapenda JE UPO KATIKA MAKUNDI HAYO HAPO JUU?

Kama wewe sio msanii na wala sio mtunzi wa vitabu pia huwezi kununua HISA kubwa katika makampuni makubwa.
Biashara hii ya mtandao ni biashara pekee inaweza kukufanya kumiliki hisa kubwa katika kampuni ukafanya kazi miaka 2-5 ukastaafu na ukaendelea kula hela VIZAZI VYAKO VYOTE.
Ndiyo maana wazungu waliamua kuanzisha hii biashara hapo mwaka 1920 huko australia HIZI ZOTE NI MBINU ZA KUONDOKANA NA UTUMWA WA PESA YA DAY WORKER AKA MSHAHARA.

Ubunifu huu unatokana na mtu kufikia umri wa kustafu huoni kabisa sehemu ya kukamata ili ujikimu, kiinua mgongo unachopewa ni AIBU KABISA PESA YAKO TANGU UNA UMRI WA KIJANA UNAKATWA NA KUTUMIKA NA MABENKI KUZALISHA FAIDA HALAFU WEWE UNAKUJA KUPEWA MILION 40. HUU NI UBEPARI LAZIMA TUBADILI FIKRA.
Nia yangu ya dhati ni kujipatia RESIDUAL INCOME sitaki tena nifikie miaka ya 35 bado nafanya biashara. Sitaki kuwa mtumwa wa RECIPROCAL INCOME.
Ni virahisi SANA kuanza kuwekeza hisa katika kampuni yetu YENYE MFUMO WA BIASHARA YA MTANDAO.
Nimefanya hii nikiwa na umri mdogo lakini mungu anabariki kila kukicha.

Karibu sana MFANYA KAZI KWANI HATA KAMA UMEBANANA VIPI KAZINI UNAWEZA KUMFUKUZA ADUI YAKO RECIPROCAL INCOME KWA KUFANYA KAZI NASI KWA MUDA WA ZIADA TU.

MAHITAJI YETU

Unachotakiwa kukidhi vigezo ni kulipia 26,000/- kama PESA YA USAJILI ndipo utaanza kufaidika haya.
1. Kila unaponunua bidhaa utapewa na kuwekeza hisa katika thamani ya dola sawa na pesa yako uliyo tumia kununua bidhaa husika.
2. Ukifikia dola 200 utaanza kurudishiwa FIDIA ya DOLA ambazo umewekeza ktk mwezi husika kwa asilimia 20. Ambayo huu ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kujipatia kipato chako kila mwezi kutokana na manunuzi yako.
3. Pia ukifikia hisa ya dola 200 utaruhusiwa kumdhamini na kumfundisha mtu yeyote anayetaka naye kuanza KUBADILI MAISHA YAKE
4. ITAFIKIA HATU UNAPOKUWA NA MEMBERS WENGI UTAWEKEZA KIDOGO UNAVUNA PESA YA MAWAKALA WAKO WOTE.
KARIBUNI SANA NEPTUNUS COMPANY NIMEFANYA HII KAZI NA NINA UZOEFU WA KUTOSHA KATIKA BIASHARA HII.
NIPO TAYARI KUKUFUNDISHA NA KUKUTOA KIMAISHA ENDAPO TU UPO TAYARI KUFUATILIA MAFUNDISHO YANGU.
KAMA UPO TAYARI KUUNGANA NAMI KATIKA HII BIASHARA YA KARNE YA 21 NETWORK MARKETING KARIBUNI KATIKA SEMINA ZANGU.
NIPO MWANZA KILIMA HEWA SHUKA BIG BITE
PIGA SIMU/WHATSAPP 0752997088
AKILIMALI
KARIBUNI WOTE MNAOCHUKIA UTUMWA WA RECIPROCAL INCOME.
 
Back
Top Bottom