Heri ya krismass kwa wakristo wote
Kuelekea mwaka 2024 imebaki wiki moja.
Kunatabia ninaziacha mwaka huu👇
1. Kubeti
2. Futa account insta , fb na twitter
3. Kuacha kushabikia yanga
4. Kuacha kabisa ngono
Na-replace na hizi tabia👇
1. Kufanya mazoezi
2. Sala
3. Kujipenda mwenyewe
4. Kusoma vitabu
Je, na wewe utaacha zipi? Na utaenda na zipi?
Karibuni kwa mchango.