Unaambiwa hao wote hapo nyuma ni usalama

katika kila kund la watu kumi kuna TISS mmoja.

Intelijensia ya socialist states iko very brutal. Nothing goes unheard, perhaps wanajua daily routine ya kila raia.

Wako kizaman sana.
 
Usalama anayejulikana kama Usalama sio Usalama....; Hiki cheo kimegeuzwa kuwa Wauza Sura...

Anyway kwangu mimi usalama ni mwananchi... mtendee vema na awe mzalendo basi nchi itakuwa na ulinzi wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…