Unaambiwa huko uchagani wazee 20 wanaweza maliza pipa la mbege

Unaambiwa huko uchagani wazee 20 wanaweza maliza pipa la mbege

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Yaani kama mbege ya bure au ya mahari wakiitana itaisha na hakuna hata utakae mwona akibeba kupeleka nyunbani .

Je?wachaga hili lina ukweli?

FB_IMG_1779124429071.jpg
 
Na ukijichanganya nao kama wewe ni kijana utastaajabu wewe eke yako ndiye utakaye kuwa unanyanyuka kwenda uani kukojoa muda wote.
Ushaelewa ?
 
Basi mbege ni "Juice cola" tu ndiyo maana vijana wanakomaa na visungura!
 
Watu 20 pipa moja mbona kawaida sana!
Halafu mbege ni tamu Haina kipengele sio pombe Kali hiyo!
 
Back
Top Bottom