Unaambiwa huko uchagani wazee 20 wanaweza maliza pipa la mbege

Na ukijichanganya nao kama wewe ni kijana utastaajabu wewe eke yako ndiye utakaye kuwa unanyanyuka kwenda uani kukojoa muda wote.
Ushaelewa ?
 
Basi mbege ni "Juice cola" tu ndiyo maana vijana wanakomaa na visungura!
 
Watu 20 pipa moja mbona kawaida sana!
Halafu mbege ni tamu Haina kipengele sio pombe Kali hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…