Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Eti Manchester city ni kubwakwa arsenal
Hili nalo lina hitaji tume?Eti Manchester city ni kubwakwa arsenal
Seek medical helpManchester city ni timu ndogo sana, haijafika hata robo ya ukubwa wa Arsenal.
Arsenal ni timu yenye historia, loyal fans na utamaduni.
Historically. But currently kiuwezo city ipo mbali sanaManchester city ni timu ndogo sana, haijafika hata robo ya ukubwa wa Arsenal.
Money is money iwe oil au niniArsenal ni timu yenye historia, loyal fans na utamaduni.
City without oil money is nothing.
So far ukitoa Uefa Arsenal ina makombe mara milioni zaidi ya city.
ni kweliUnaambiwa Klabu ambazo ni kubwa na bingwa tena katika Ligi zinafuatiliwa zaidi Duniani zote zimepoteza mechi za ufunguzi wa msimu dhidi ya Klabu ndogo.
PSG imepoteza dhidi ya As Monaco(Monaco ndogo kwa PSG)✓
Bayern Munich akafa dhidi ya RB Leipzig tena kwa bao 3-0(RB Leipzig ni ndogo kwa Bayern Munich)✓
Manchester City wakapoteza dhidi ya Arsenal kwa penati.(Arsenal ni ndogo kwa Man City)✓
Yanga imepoteza dhidi ya Simba kwa penati(Vipi Simba ni ndogo kwa Yanga)?
Ndio malengo yao. Miaka 25 hawajacheza makundi ya Champions League halafu ngebe nyingi.Jana ali kamwe kasema kuwa malengo ya klabu mwaka huu ni kucheza hatua ya makundi CAFCL
Inakuuma?Ndio malengo yao. Miaka 25 hawajacheza makundi ya Champions League halafu ngebe nyingi.