Aje ligi ya BONGO apewe namungoAondoke Sasa Uingereza...
Mimi ukiniuliza leo hii timu gani itakuwa Bingwa wa EPL 2024/2025 bila kupepesa macho wala kutikisa masikio nitajibu MANCHESTER CITY chini ya PEP GUARDIOLA!!!!Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya vipigo mfululizo vinavyoikumba timu yake.
Guardiola, ambaye anasifika kwa mbinu na Soka safi amekumbana na vipogo saba mfululizo bila kuonja ushindi na Man City, anapambana kutafuta suluhisho la haraka kwa hali mbaya ya timu hiyo.
View attachment 3168245
Taarifa za ndani zinadai kuwa kocha huyo anajaribu kufikiria mikakati mipya ya kuirejesha timu hiyo kwenye ufanisi baada ya mfululizo wa matokeo mabaya.
Sterling alivokuwa anapewa nafasi anachezea unasema anambaguaDhambi ya ubaguzi inamuandama jamaa. Lilikuwa swala la muda tu. Yani bila huyu jamaa Raheem Sterling angetunukiwa Balloon dor.
We kinyago utabadilisha sana Id mwaka huu.Huna akili ubaguzi auchezi mpira
Umechanganyikiwa na ugumu wa maisha?We kinyago utabadilisha sana Id mwaka huu.
Mbona Man U makocha wanapewa wanachotaka lakini zaidi ya Miaka kumi hawana Ligue?.Huyo anahitaji timu yenye uwezo wa kutumia pesa apate anachotaka Ili awape mafanikio.
Labda aende PSG..
Tena ungemuuliza alipokwenda Chelsea alibaguliwa au mpira ulimshinda? Sasa yupo Arsenal, anabaguliwa? Aliyesema Soka ni mchezo wa wazi hakukosea!Sterling alivokuwa anapewa nafasi anachezea unasema anambagua
Dhambi ya ubaguzi inamuandama jamaa. Lilikuwa swala la muda tu. Yani bila huyu jamaa Raheem Sterling angetunukiwa Balloon dor.
Ukimbagua mtu usimpange kwenye kikosi unamuua kisoka.Huna akili ubaguzi auchezi mpira
Amna jitu baguzi kama jitu jeusi duniani yaani dunia ingekua bila majitu meusi na maarabu ingekua na furaha na amaniUkimbagua mtu usimpange kwenye kikosi unamuua kisoka.
Dogo acha upuuz. Ndo maana Arne Slot hakupi namba.Amna jitu baguzi kama jitu jeusi duniani yaani dunia ingekua bila majitu meusi ni maarabu ingekua na furaha na amani
Narudia tena dunia ingekua bila majitu meusi na maarabu ingekua na amani sana yaani majitu meusi ni mabaguzi sijapata ona na maarabu ni makatili hayana utuDogo acha upuuz. Ndo maana Arne Slot hakupi namba.
Hahaha Elliot unavituko sana.Narudia tena dunia ingekua bila majitu meusi na maarabu ingekua na amani sana yaani majitu meusi ni mabaguzi sijapata ona na maarabu ni makatili hayana utu
Ni bara la watu wabaguzi wanaotumia rangi Yao kutia huruma ila majitu meusi mabaguzi sanaHahaha Elliot unavituko sana.
God bless Africa. God bless black man.
Hili swali waulize Man UMbona Man U makocha wanapewa wanachotaka lakini zaidi ya Miaka kumi hawana Ligue?.
Dhambi ya ubaguzi inamuandama jamaa. Lilikuwa swala la muda tu. Yani bila huyu jamaa Raheem Sterling angetunukiwa Balloon dor.
Nakuuliza wewe unaesema bila pesa hachukui makombe, niambie nani alichukua makombe bila Pesa?.Hili swali waulize Man U
Aende Italia akalainishe soka.Aondoke Sasa Uingereza...
Sijui kwann watu Huwa wanapenda kuongea tu bila facts,🤣🤣 kama ambavyo sahivi Yuko arsenal ila wanaweza mashabiki wasiwe wanajuaTena ungemuuliza alipokwenda Chelsea alibaguliwa au mpira ulimshinda? Sasa yupo Arsenal, anabaguliwa? Aliyesema Soka ni mchezo wa wazi hakukosea!