Unaambiwa Pep Guardiola 'hapatikani' na hatumii simu yake ya mkononi, ajificha kuokoa Jahazi la Man City

Unaambiwa Pep Guardiola 'hapatikani' na hatumii simu yake ya mkononi, ajificha kuokoa Jahazi la Man City

Kocha mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola, anadaiwa kuwa "hapatikani" na hatumii simu yake ya mkononi, huku muda mwingi akijifungia ofisini akijaribu kutafuta njia ya kutoka kwenye hali ya vipigo mfululizo vinavyoikumba timu yake.

Guardiola, ambaye anasifika kwa mbinu na Soka safi amekumbana na vipogo saba mfululizo bila kuonja ushindi na Man City, anapambana kutafuta suluhisho la haraka kwa hali mbaya ya timu hiyo.
View attachment 3168245
Taarifa za ndani zinadai kuwa kocha huyo anajaribu kufikiria mikakati mipya ya kuirejesha timu hiyo kwenye ufanisi baada ya mfululizo wa matokeo mabaya.
Mimi ukiniuliza leo hii timu gani itakuwa Bingwa wa EPL 2024/2025 bila kupepesa macho wala kutikisa masikio nitajibu MANCHESTER CITY chini ya PEP GUARDIOLA!!!!
 
Dogo acha upuuz. Ndo maana Arne Slot hakupi namba.
Narudia tena dunia ingekua bila majitu meusi na maarabu ingekua na amani sana yaani majitu meusi ni mabaguzi sijapata ona na maarabu ni makatili hayana utu
 
Narudia tena dunia ingekua bila majitu meusi na maarabu ingekua na amani sana yaani majitu meusi ni mabaguzi sijapata ona na maarabu ni makatili hayana utu
Hahaha Elliot unavituko sana.

God bless Africa. God bless black man.
 
Back
Top Bottom