Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi Leo naumbuka huku!!..Fimbo ya mbali....
Mimi na baby wangu tuna namna yetu, yes tuko mbali mbali ila kinachotuweka karibu mara zote ni nyoyo zetu na nafsi....our souls match and connect even when we are not communicating to each other.
Love you so much Dadii, you are my man to and from the moon.
Yaani sisikii, nikiwa nae sioniii, juu yake sihofuuu... Hata niambiwe lolote baya juu yake, sielewiii. Ameniloki kwenye loki zote mapenzi yake sichomoiiii aahahahahhaaa.
Ngoja nikamuanzishie uzi.
Kasinde Matata.
Wacha weehFimbo ya mbali....

Bibi Leo naumbuka huku!!..
Msaada😅
Wacha weeh
Kulikoni mjukuu??
Nani anakuchojoa hadharani?
Nimeambiwa nicheze huo wimbo alasivyo sipewi...😅
Mi naweza za kina Michael Jackson break dance tu sijui ntafanyaje
Bora hata umekazia msimamo..😜😂😅Kimbiaaaaaa huyo hakufai khaaaaa
Ndo mambo gani uruke majoka halafu ndo akuruhusu umrukie...
Ingekuwa reggae muffin ningekuja kukufundisha ila Awilo Longomba, ina wenyewe hiyo eehehehheeeee
Poleeee.
Nimeambiwa nicheze huo wimbo alasivyo sipewi...😅
Mi naweza za kina Michael Jackson break dance tu sijui ntafanyaje
Hufiki hapa wewe bado mtoto sana hapa moon walker,vunjavunja,katakata,robotiroboti, shuffle zote zimelala hapa wewe Cha kufanya kakojoe ulale tu..mi mwenyewe mkali wa kuvunja bwashee.
nisiongee sana bwashee ila kwa ufupi tu hizo style zote ulizozitaja ninazicheza balaa, kwa mfano nikiamua kufanya hiyo moon walk style utanipenda...Yaani nateleza vizuri kurudi nyuma huyo michael jackson mwenyewe akasome...Nikisema nicheze stones ndo naua kabisa.Hufiki hapa wewe bado mtoto sana hapa moon walker,vunjavunja,katakata,robotiroboti, shuffle zote zimelala hapa wewe Cha kufanya kakojoe ulale tu..