Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,553
Habari zenu wakuu,
Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.
Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.
Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.
Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.
Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.