Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Huyo uliekua unamdai ukamkuta anaumwa unafikiri hayo ndo yalikua malipo ya deni lako? Je ungekua humdai asingeumwa?
Neno malipo ni hapahapa duniani ni maneno yaliyo andaliwa ili wanyonge wayaamini na wapoteze haki zao.

Hii Dunia haipo kwaajili ya watu wanao samehesamehe
 
Sasa karma mbona hamuondoi ccm madarakani pamoja na maovu yake yote?
My friend, Sisiemu is better now than ever before. Usidanganyike! But don't mix religion and politics, utawehuka. Hiyo ni field nyingine kabisa na kuna namna Mungu anavyodeal na watu hao. Siyo kwa fikra zako hizo za wivu, hasira, chuki na husda!
 
Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.

Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5

Na sauti ya karma inanijia
Iliwahi kunikuta nikiwa karani, siku nikizidishiwa fedha nikakauka lazima siku hiyo nipate shoti. Hadi niliacha hiyo Tabia.
 
Kuna watu tumefanyiwa Mambo ya ajabu Sana na watu tuliowaamini na kuwathamini

Kitu kimoja kikubwa nmejifunza kuhusu maisha

Ni kwamba It goes on

Nasamehe nasamehe , nasamehe kwa faida ya moyo wangu

Kama karma IPO sawa

Usikute na Mimi nalipa Mambo ya mzee wangu

Samehe endelea na maisha sifuatilii anaendeleaje

Atajua mwenyewe kikubwa nahakikisha na mafanikio makubwa
Kwa comment hii am blessed
 
Sijaelewa swali Mkuu. Unampenda mtu hakupendi ama?
Yani Namanisha hivi unakuta Mtu anapendwa lakini yeye hapendeki anamfanyie visa tuu kumuumiza mwenzie kwa maksudi
Mfano; anapigiwa simu hapokei, wanafanya appointment haendi yani maksudi tuu kwakua hampendi

Ubaya huu nao ukoje utamrudia ukiangalia ni mapenzi hap
 
Malipo ni hapa hapa duniani........Kama mtu umeshawahi kumfanyia mabaya basi muombe radhi...ni uungwana.....Kuna wakati pia Mambo yako yanakua yanaenda kombo kutokana na manung'uniko ya baadhi ya watu uliowahi kuwapokonya haki zao au kuwanyanyia isivo ndivyo
 
Yani Namanisha hivi unakuta Mtu anapendwa lakini yeye hapendeki anamfanyie visa tuu kumuumiza mwenzie kwa maksudi
Mfano; anapigiwa simu hapokei, wanafanya appointment haendi yani maksudi tuu kwakua hampendi

Ubaya huu nao ukoje utamrudia ukiangalia ni mapenzi hap
Mkuu Karma kwahuyo anayemnyanyasa mwenzake kisaikolojia ipo. Heri akwambie hakutaki uachane nae kushinda akufanyie Visa. Atakuja kumpenda mtu na yeye atafanyiwa vimbwanga vyote anamvyomfanyia mwenzake Tena hata zaidi ya hivyo.
 
Aisee sawa sawa, ukifikilia sana hii ngoma inatisha
 
Karma is real.
Umesha wahi kuona Askari polisi akikaribia kufa ( hapa naongelea waliokua wanawatesa raia wakati wa utumishi wao)
Umesha wahi kuona jambazi likikaribia kufa.
Umesha wahi kuona mchawi akikaribia kufa?
 
Siyo Kila mtu anaweza kuacha karma kwa mtu inategemea na matambiko uliyofanyiwa wakati unazaliwa ndo maana watoto wa zamani walipozaliwa walipelekwa kwenye asili zao kufanyiwa matambiko kwa huyo mtu wa hivyo akinungunika tu kwa mkosaji wake lazima aumie, na wengine wanafanya baada ya kukosewa na hapo lazima uwe umekosewa ndo anafanya matambiko ya asili na wanakuwa wameachiwa na wazee wao hizo mbinu lazima utaumia tu, hivyo siyo Kila mtu.
 
Back
Top Bottom