Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Visa hivyo unavihusishaje na KARMA na sio kwamba kuna kitu kingine usichokijua kimesababisha?
Your reasoning sounds good kwa sababu ungependa kuprove scientifically! Lakini pia katika sayansi kuna reasonable assumptions na estimations ambazo huchukuliwa kuwa very logical & affirmative endapo zikiwa within acceptable parameters. Sasa kwa idadi ya visa vya karma (baraka & laana) ni dhahiri kabisa kwamba probability husika ni kubwa sana kiasi cha kurule out factor ya sheer chance na coincidence! You better believe it! Hii ndiyo mojawapo ya vitu vimewaknock out atheists na wasiomwamini Mungu.
 
Nimesema greater khee miwatu mingine bhna

Anaye operate nature si ndo Mungu

Una akili ?
Sasa ndiyo kukasirika hadi unatetemeka vidole vinaboronga mwandiko hivyo!??? Wewe unasifu nature, wakati the fact of the matter is, kuna force beyond nature. Ukuega basi kidogo, sawa?
 
Ntetemeke vidole kisa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kitu cha KARMA kihalisia nje ya msemo.

Hapo ungeniambia kitu kinacho relate na saikolojia kulingana na namna mtu anavyo perceive jambo kwa negative way ndivyo anavyozidi kujikuta anapata madhara ningekuelewa
Wala huna sababu ya kubisha! Najua wewe mwenyewe unayo majibu. Hakuna mtu ambaye hajawahi kuexperience karma (law of curse & blessings)!!!
 
Karma ni myth tu story za kufikirika "fantasy "

Na ukweli mchungu mwengine ni kwamba siku zote watu wabaya ndo hufanikiwa

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wrong. "Mafanikio hayana chama!" Kuwa na mafanikio haina maana kwamba umekwepa law of curse & blessings (KARMA). Mtu anaweza kuwa godly, lakini asiukwae utajiri; mwingine akawa extremely evil na mkwasi kinoma. Retribution ya law of curse and blessing (karma) inakujaga kwa style yakeyake tu. But sharti ni kwamba lazima IKUJE & you must remember it very loudly & clearly. Ni sauti from unknown inakwambia na kukukumbushia baraka hiyo ama laana fulani ambayo umepata ni matokeo ya kitu fulani. And you can never gainsay it!
 
Ntetemeke vidole kisa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo hata mie nimeshangaa sana tu! Isijekuwa hiyo ni KARMA tayari imekupata, maana hizi vitu "know-mar sir-nuh!!!"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ni noumar Mara that that karma kashafanya yake.
 
Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.

Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5

Na sauti ya karma inanijia
Hii inatokeaga Sana.

Kuna aunt yangu alisafiri nje, huku nyuma aliacha anadai wapangaji wake akanambia niwafatilie since yeye atakuwa hayupo. Njia kuu ya mawasiliano yetu ilikuwa WhatsApp kila siku ananipigia wamekulipa, nenda kawadai. Huko nako ukienda kuwadai wapangaji pasua kichwa, aunt usumbufu unazidi WhatsApp call kila siku nikamblock WhatsApp aje kuwadai mwenyewe akirudi.

Hanioni WhatsApp akampigia mtu mwingine mbona simuoni online, nikamwambia yule mtu mwambie sim yangu imeharibika natumia torch siko WhatsApp. Akauliza fundi anataka shingapi nikamdanganya Bei akanitumia nikamtoa block hela nikala. Haikupita hata week nikaangusha hela Tena zaidi ya aliyontumia.

Kweli Karma is a bitch [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Your reasoning sounds good kwa sababu ungependa kuprove scientifically! Lakini pia katika sayansi kuna reasonable assumptions na estimations ambazo huchukuliwa kuwa very logical & affirmative endapo zikiwa within acceptable parameters. Sasa kwa idadi ya visa vya karma (baraka & laana) ni dhahiri kabisa kwamba probability husika ni kubwa sana kiasi cha kurule out factor ya sheer chance na coincidence! You better believe it! Hii ndiyo mojawapo ya vitu vimewaknock out atheists na wasiomwamini Mungu.
KARMA ni maneno ambayo huwafariji watu wengi wanapokuwa katika hali isiyo ya haki au situation fulani yoyote ambayo hawana uwezo wa kudhibiti

habari za KARMA ni idea ya kizamani ambayo haimaanishi kua jambo fulani ni kweli, na hicho unachokidai ni uthibitisho kimenihakikishia maradufu kua KARMA ni mitazamo yenu dhidi ya mambo ambayo hamyaelewi

KWAMBA
Mchizi kamcheat girlfriend wake, wakaachana. halafu mshkaji huyo huyo akaanzisha mahusiano mapya na mwanamke mwingine halafu huyo mwanamke naye amam-cheat msela, wakaachana

Hiyo ndio mnaita KARMA?
 
Wala huna sababu ya kubisha! Najua wewe mwenyewe unayo majibu. Hakuna mtu ambaye hajawahi kuexperience karma (law of curse & blessings)!!!
yani personal experience ndio uthibitisho wa kuonesha KARMA is real?

Nisawa kusema kua uvutaji wa sigara sio hatari kwa afya yako na kwamba tangazo hilo kutoka wizara la afya limepotosha umma kwasababu babu yangu anavuta sigara 50 kwa siku na ana miaka 97?
 
Mimi simtendei mtu mabaya kwa kudhamilia ila nalipiza kisasi na sisamehi mtu, yaani sijuwi kusamehe kwani nina amini kuwa hakuna mtu mzima anayefanya kitu bila kuwa na sababu. Hivyo basi, mtu mzima akinitendea makosa juwa kuwa amekusudia so I don't forgive, I will hurt them (awe mwanamme au mwanamke) kwa kukupa kipigo cha mwizi and move on ili liwe funzo kwake.
 
Hii inatokeaga Sana.

Kuna aunt yangu alisafiri nje, huku nyuma aliacha anadai wapangaji wake akanambia niwafatilie since yeye atakuwa hayupo. Njia kuu ya mawasiliano yetu ilikuwa WhatsApp kila siku ananipigia wamekulipa, nenda kawadai. Huko nako ukienda kuwadai wapangaji pasua kichwa, aunt usumbufu unazidi WhatsApp call kila siku nikamblock WhatsApp aje kuwadai mwenyewe akirudi.

Hanioni WhatsApp akampigia mtu mwingine mbona simuoni online, nikamwambia yule mtu mwambie sim yangu imeharibika natumia torch siko WhatsApp. Akauliza fundi anataka shingapi nikamdanganya Bei akanitumia nikamtoa block hela nikala. Haikupita hata week nikaangusha hela Tena zaidi ya aliyontumia.

Kweli Karma is a bitch [emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee! Eti kwenye business wanasemaga lazima zile vitu zao makabati-kabati zibalance!
 
Unavyo zidi kuwa mkubwa ki ufahamu ndo unavyo feel hasa matokeo ya matendo/ kauli zako ulizotoa na zinavyo kurudia ktk hali ya uzuri au ubaya (positive or negative)

Ni kama tu ni sisi wenyewe tuna tengeneza ‘pepo’ au ‘moto’ (jehanam) tukiwa bado ktk uso wa dunia hii

Najitahidi sana kuchunga dhamira yangu ya kutenda na kusema maana pia umri unavyosonga ndo unavyoona unavyotakiwa ku ‘balance sheet’ [emoji23] kuweka sawa hesabu zako kabla ya kuondoka ktk uso wa dunia kwahiyo vitu vinakuja haraka kusawazisha kwa yaliyotendwa na hasa kama dhamira ilikuwa mbaya unalipwa ubaya na kama ilikuwa nzuri unaona pia unachopata ‘ malipo duniani huko kwingine ni hesabu tu’ [emoji23]

Zamani nilikuwa najiona mjanja na hasa napoona naweza ku tricks na ku twist hali fulani ili nipate mimi sababu labda niliona kwa mazingira hayo nipo kidogo na uwezo zaidi wa kufikiria haraka na kuna advantages fulani zipo upande wangu kama maamuzi na muonekano wangu lkn ndo ukitulia baadae unaona chanzo cha kupitia hali fulani ambazo unalipia matendo na kauli ulizofanya ukiwa na ufahamu kwamba unafanya siyo kutokea hapo sitaki ku ‘manipulate’ kitu chochote naacha vitu vi ‘flow’ tu
 
KARMA ni maneno ambayo huwafariji watu wengi wanapokuwa katika hali isiyo ya haki au situation fulani yoyote ambayo hawana uwezo wa kudhibiti

habari za KARMA ni idea ya kizamani ambayo haimaanishi kua jambo fulani ni kweli, na hicho unachokidai ni uthibitisho kimenihakikishia maradufu kua KARMA ni mitazamo yenu dhidi ya mambo ambayo hamyaelewi

KWAMBA
Mchizi kamcheat girlfriend wake, wakaachana. halafu mshkaji huyo huyo akaanzisha mahusiano mapya na mwanamke mwingine halafu huyo mwanamke naye amam-cheat msela, wakaachana

Hiyo ndio mnaita KARMA?
Kwanza, karma haihusiani na loss ama failure ama negative incidents peke yake -- ina pande mbili za sarafu. You can be cursed for an evil act ama uwe blessed for a generous one. The more you offer blessings to others, the more you create room for even more blessings that are even far greater in value.

Pili, unasema "ni idea ya kizamani"! Do you accept or reject something on account of its longevity??? Karma (ama lawa of blessing & curse) is a divine hand ya kuwasaidia wanadamu watambue kwamba anatawala juu ya viumbe wote. He is in control! Can you imagine even Bill Gates knows and accepts this!

"Hiyo ndiyo mnaita KARMA?" Eeeh! Ndiyo hiyo, na zaidi ya hapo. Inapenya kila sekunde ya maisha ya kila mtu! We know you have more answers than mere retortion, don'nt you? The law of curse & blessing is as real as the very letters you are just reading!
 
Mimi simtendei mtu mabaya kwa kudhamilia ila nalipiza kisasi na sisamehi mtu, yaani sijuwi kusamehe kwani nina amini kuwa hakuna mtu mzima anayefanya kitu bila kuwa na sababu. Hivyo basi, mtu mzima akinitendea makosa juwa kuwa amekusudia so I don't forgive, I will hurt them (awe mwanamme au mwanamke) kwa kukupa kipigo cha mwizi and move on ili liwe funzo kwake.
Kama lengo lako ni "kumfundisha," kama unavyodai, basi kisasi siyo neno wala tendo sahihi hapo! Kisasi kikubwa kabisa unachoweza kumfanyia mtu yeyote aliyekukosea ni kuzungumza, kuombana msamaha yaishe na kumove on just as peacefully as that. Yule mkuu wa giza hapendagi kabisa watu wajue njia hii, ndiyo maana anawapitisha shortcut mabondeni wanaishia kutumbukia mashimoni hawafiki waendako. Dada mmoja alikataa kureconcile na mumewe (just recently na kisa kilivuma sana mitandaoni), japo mume alikuwa ameonesha nia ya wazungumze wayamalize, the very night yule dada akapigwa na mumewe kwa kumziria plus plus, akapoteza maisha! Very sad!
 
Habari zenu wakuu,

Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.

Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.

Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.

Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.

Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.
Ni kweli, si uongo.
Karma ipo na inafanya kazi.
Tengeneza na uliyemkosea kabla hayajakufika.

Niliwahi fukuzwa kazi kwa hila.
Yule aliyenifukuza alikuwa bosi kubwa sana na sijui alikwazika nini na mimi.
Lakini mi sikuwa na kosa hilo nina uhakika maana hata tuhuma za kufukuzwa zilikuw za kupikwa.

Aliponifukuza akaanza kujigamba "nimewafukuza kazi watu fulani, na mtawaona mitaani wakiomba kazi"
Na maneno mengine at "yule jamaa nimemfukuza na an mke mzuri tutaona sasa"
Yote niliyapata.
Huko mtaani mi nikasali tu maana kwa jinsi yule bosi alivyokuwa mkubwa , kila nikiomba msaada mahali nagonga mwamba.

Yaliyomkuta huyo jamaa baada ya miaka karibia kumi yalinishangaza hata mimi.
Kumbe anachukua wake za watu, wajanja wakamtega na kumfanyizia kinyume!!
Halafu na yeye akfukuzwa kazi na wakubwa zaidi!
Mbatya zaidi na nilipomhurumia , akapata kansa!
Jamaa ikabidi miye sasa nimuhurumie maana aliugua hadi kufa!

Jamani karma ipo!
 
Habari zenu wakuu,

Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.

Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.

Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.

Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.

Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.

Nimejiuliza alshabab ,boko haramu n.k na hao watalipwa na nani maana kila siku wanawatendea watu mabaya
 
Back
Top Bottom